Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

Kaulizwa wameshashakaa vikao vingapi na hawasemi chochote. Kiukweli mwendokasi kuna upigaji sana
 
Mtamkumbuka JPM
 
Suluhisho huu mradi wapewe JKT au JW wausimamie, watu watakuwa na adabu na mradi utakuwa na tija
Hata hao nao watakula tu, labda kidogo tuwaweke mashehe na mapadri wasimamie ndio tija itaonekana
 
Kaz kaz....
mapigaji yanataka kurudi....
safi sana waziri mkuu
Tulia wew! Wapigaj gan wanataka kurudi? Hicho anachokihoji wazir mkuu ni cha leo au jana? Wazir anamaanisha mwendokas imeshindwa kujiendesha ikiwemo kununua magari mengine zaid ya yaleyale yaliyonunuliwa na serikali. Kama wapigaj wanataka kurudi bas walisharud tang enzi ndo maana wazir mkuu kashangaa hata hela ya kununua magari mengine hawana.
 
Hivi leo ndo anajua kuwa mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi ?
 
Pesa za world bank, serikali imelipa, mjasiliamali kaleta gari, serikali haiwezi kusimamia mismamizi...........!

This is disturbing me.
 
Ni nani anaeweza kumthamini huyu bwana? Ni bahati tu kuwa bado ni waziri mkuu na anaweza kubwajaja anavyotaka. Lakini toka siku ile aliposimama siku ya ijumaa, akiwa amevaa kanzu maridadi na baraghashia kali sana, akasimama mbele ya kibla cha msikiti na kuwatizama wananchi wa kiisalmu machoni na kusema maneno ya kupotosha, hakuna mwenye akili timamu anaeweza kuamini chochote kinachotoka katika kinywa cha huyu mtu. Uwe muislamu, uingie msikitini, siku ya ijumaa, usimame mbele ya kibla na udanganye halafu unategemea watu wakuamini tena?
 
Achana na Chatu gang hao.
 
Majaliwa aachane na uongozi wa kiki.

Kama kweli anataka kushughuiia hilo suala siyo lazima kukoromeanakoromeana Laivu anaweza kufuata taratibu za kiofisi kupata taarifa nzuri tu zilizonyooka.

Haya mambo yameshapitwa na wakati
 
Hahahaha haaaminiki.
 
Majaliwa aachane na uongozi wa kiki
Kama kweli anataka kushughuiia hilo suala siyo lazima kukoromeanakoromeana Laivu anaweza kufuata taratibu za kiofisi kupata taarifa .
Haya mambo yameshapitwa na wakati
Ni chatu gang anataka kurudi kwenye kiki.
 
Sio kwamba Jamaa Ni wa namungo[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…