IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Hiyo kazi angeachiwa mtu kama Azam mambo yangekuwa poa sanaKampuni hiyo kama imeshindwa, si watoe tenda wenye pesa waingie? Kuwe na furaha na amani kama kupanda mabasi ya wenzetu Ulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kazi angeachiwa mtu kama Azam mambo yangekuwa poa sanaKampuni hiyo kama imeshindwa, si watoe tenda wenye pesa waingie? Kuwe na furaha na amani kama kupanda mabasi ya wenzetu Ulaya.
Kaulizwa wameshashakaa vikao vingapi na hawasemi chochote. Kiukweli mwendokasi kuna upigaji sanaTunarudi kule kule. Haya mambo si ya kuulizana jukwaani. Angemwita yeye na viongozi wake ili wakae waone tatizo liko wapi. Kama ni uongozi lingeonekana tu. Na kama ni serikali ingeonekana tu maana Meneja angeweza kusema kweli yake bila kuonekana kuwa anamdhalilisha WM hadharani. Inabidi viongozi wakuu wabadilike.
Amandla...
Mtamkumbuka JPMWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na waziri mkuu kumuhoji inatumia miaka mingapi kukamilika?
Majaliwa amesema wanaibiwa mapato kwani wao wanatumia mtambo na wengine wanatumia mtambo mwingine na hawana namna ya ku-check.
Pia Meneja amehojiwa tangu aingie amenunua mabasi mangapi baada ya serikali kununua mabasi 140 huku mabasi yanayokadiriwa kuwa barabarani ni wastani wa 100.
Mtoa huduma ya mwendokasi aliagiza mabasi 70 ambayo yamekwama kuingia barabarani kutokana na mgogoro na waziri mkuu akasema anaenda kuyaona. Majaliwa amesema wananchi wanalalamika mabasi hayatoshi akitolea mfano Kimara watu wanaingilia dirishani na kuhoji mapato wanayokusanya wanapeleka wapi kama wanashindwa kununua mabasi.
Pia waziri mkuu amepita karakana ya Jangwani na sasa anaelekea Ubungo kuangalia mabasi yenye mgogoro
==========
UBUNGO: Kinachoendelea waziri mkuu anauliza hatua zinazoweza kuchukuliwa kwa mabasi yaliyokwama ambapo mtu TRA anasema sheria inamruhusu kamishna kuya-donate au kuyaharibu na waziri mkuu amesema hawezi kupewa Shabiby kwasababu hayamfai kwenda Dodoma kwani ni kwaajili ya barabara za mwendokasi na sasa anauliziwa mwanasheria
Pia waziri mkuu anawaambia forodha waendelee kufanya minada ya mizigo iliyokaa kupita kiasi mara kwa mara ili kusafisha nafasi ya kuagiza mizigo mingine na kuwataka wabadilike kwani baadhi ya wateja wanalalamika process zinachukua muda mrefu
Kassim Majaliwa anasema pesa zilizotumika zimekopwa world bank na zinalipwa na mabasi yameletwa na mjasiriamali laiki ameshindwa ku-comply na sheria na sheria zimechukua mkondo wake tangu 2018 na kutaka kesho wakae waamue
Majaliwa amesema serikali inao uwezo wa kununua mabasi lakini tatizo ni usimamizi na hawawezi kumsimamia msimamizi ambae hawezi na leo amemuweka pembeni mkurugenzi wa fedha na mwingine anamuachia Rais kwani yuko kwenye mamlaka yake.
Hahahaaaa........ haya bhana!Mfumo wao wa ticket sahvi ni rahisi sana mtu kuutumia bila kutoa hela...
Nishawapima sana, ngoja nkirudi mjini ntakufundisha lakini iwe chemba
Ova
why?Mwendokasi washafeli
Kwanza kwa style yao ya ukataji ticket
Watakosa sana hela
Niulize kwanini?
Ova
Hata hao nao watakula tu, labda kidogo tuwaweke mashehe na mapadri wasimamie ndio tija itaonekanaSuluhisho huu mradi wapewe JKT au JW wausimamie, watu watakuwa na adabu na mradi utakuwa na tija
Mradi apewe mwekezaji binafsi tuSuluhisho huu mradi wapewe JKT au JW wausimamie, watu watakuwa na adabu na mradi utakuwa na tija
juha mama yako shenziUjuha tu.
Madudu ya mwendokasi yalikuwepo tokea jpm yupo na sijui mwendokasi kuna niniMtamkumbuka JPM
Tulia wew! Wapigaj gan wanataka kurudi? Hicho anachokihoji wazir mkuu ni cha leo au jana? Wazir anamaanisha mwendokas imeshindwa kujiendesha ikiwemo kununua magari mengine zaid ya yaleyale yaliyonunuliwa na serikali. Kama wapigaj wanataka kurudi bas walisharud tang enzi ndo maana wazir mkuu kashangaa hata hela ya kununua magari mengine hawana.Kaz kaz....
mapigaji yanataka kurudi....
safi sana waziri mkuu
Hivi leo ndo anajua kuwa mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi ?Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na waziri mkuu kumuhoji inatumia miaka mingapi kukamilika?
Majaliwa amesema wanaibiwa mapato kwani wao wanatumia mtambo na wengine wanatumia mtambo mwingine na hawana namna ya ku-check.
Pia Meneja amehojiwa tangu aingie amenunua mabasi mangapi baada ya serikali kununua mabasi 140 huku mabasi yanayokadiriwa kuwa barabarani ni wastani wa 100.
Mtoa huduma ya mwendokasi aliagiza mabasi 70 ambayo yamekwama kuingia barabarani kutokana na mgogoro na waziri mkuu akasema anaenda kuyaona. Majaliwa amesema wananchi wanalalamika mabasi hayatoshi akitolea mfano Kimara watu wanaingilia dirishani na kuhoji mapato wanayokusanya wanapeleka wapi kama wanashindwa kununua mabasi.
Pia waziri mkuu amepita karakana ya Jangwani na sasa anaelekea Ubungo kuangalia mabasi yenye mgogoro
==========
UBUNGO: Kinachoendelea waziri mkuu anauliza hatua zinazoweza kuchukuliwa kwa mabasi yaliyokwama ambapo mtu TRA anasema sheria inamruhusu kamishna kuya-donate au kuyaharibu na waziri mkuu amesema hawezi kupewa Shabiby kwasababu hayamfai kwenda Dodoma kwani ni kwaajili ya barabara za mwendokasi na sasa anauliziwa mwanasheria
Pia waziri mkuu anawaambia forodha waendelee kufanya minada ya mizigo iliyokaa kupita kiasi mara kwa mara ili kusafisha nafasi ya kuagiza mizigo mingine na kuwataka wabadilike kwani baadhi ya wateja wanalalamika process zinachukua muda mrefu
Kassim Majaliwa anasema pesa zilizotumika zimekopwa world bank na zinalipwa na mabasi yameletwa na mjasiriamali laiki ameshindwa ku-comply na sheria na sheria zimechukua mkondo wake tangu 2018 na kutaka kesho wakae waamue
Majaliwa amesema serikali inao uwezo wa kununua mabasi lakini tatizo ni usimamizi na hawawezi kumsimamia msimamizi ambae hawezi na leo amemuweka pembeni mkurugenzi wa fedha na mwingine anamuachia Rais kwani yuko kwenye mamlaka yake.
Pesa za world bank, serikali imelipa, mjasiliamali kaleta gari, serikali haiwezi kusimamia mismamizi...........!Kassim Majaliwa anasema pesa zilizotumika zimekopwa world bank na zinalipwa na mabasi yameletwa na mjasiriamali laiki ameshindwa ku-comply na sheria na sheria zimechukua mkondo wake tangu 2018 na kutaka kesho wakae waamue
Majaliwa amesema serikali inao uwezo wa kununua mabasi lakini tatizo ni usimamizi na hawawezi kumsimamia msimamizi ambae hawezi na leo amemuweka pembeni mkurugenzi wa fedha na mwingine anamuachia Rais kwani yuko kwenye mamlaka yake.
Ni nani anaeweza kumthamini huyu bwana? Ni bahati tu kuwa bado ni waziri mkuu na anaweza kubwajaja anavyotaka. Lakini toka siku ile aliposimama siku ya ijumaa, akiwa amevaa kanzu maridadi na baraghashia kali sana, akasimama mbele ya kibla cha msikiti na kuwatizama wananchi wa kiisalmu machoni na kusema maneno ya kupotosha, hakuna mwenye akili timamu anaeweza kuamini chochote kinachotoka katika kinywa cha huyu mtu. Uwe muislamu, uingie msikitini, siku ya ijumaa, usimame mbele ya kibla na udanganye halafu unategemea watu wakuamini tena?Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na waziri mkuu kumuhoji inatumia miaka mingapi kukamilika?
Majaliwa amesema wanaibiwa mapato kwani wao wanatumia mtambo na wengine wanatumia mtambo mwingine na hawana namna ya ku-check.
Pia Meneja amehojiwa tangu aingie amenunua mabasi mangapi baada ya serikali kununua mabasi 140 huku mabasi yanayokadiriwa kuwa barabarani ni wastani wa 100.
Mtoa huduma ya mwendokasi aliagiza mabasi 70 ambayo yamekwama kuingia barabarani kutokana na mgogoro na waziri mkuu akasema anaenda kuyaona. Majaliwa amesema wananchi wanalalamika mabasi hayatoshi akitolea mfano Kimara watu wanaingilia dirishani na kuhoji mapato wanayokusanya wanapeleka wapi kama wanashindwa kununua mabasi.
Pia waziri mkuu amepita karakana ya Jangwani na sasa anaelekea Ubungo kuangalia mabasi yenye mgogoro
==========
UBUNGO: Kinachoendelea waziri mkuu anauliza hatua zinazoweza kuchukuliwa kwa mabasi yaliyokwama ambapo mtu TRA anasema sheria inamruhusu kamishna kuya-donate au kuyaharibu na waziri mkuu amesema hawezi kupewa Shabiby kwasababu hayamfai kwenda Dodoma kwani ni kwaajili ya barabara za mwendokasi na sasa anauliziwa mwanasheria
Pia waziri mkuu anawaambia forodha waendelee kufanya minada ya mizigo iliyokaa kupita kiasi mara kwa mara ili kusafisha nafasi ya kuagiza mizigo mingine na kuwataka wabadilike kwani baadhi ya wateja wanalalamika process zinachukua muda mrefu
Kassim Majaliwa anasema pesa zilizotumika zimekopwa world bank na zinalipwa na mabasi yameletwa na mjasiriamali laiki ameshindwa ku-comply na sheria na sheria zimechukua mkondo wake tangu 2018 na kutaka kesho wakae waamue
Majaliwa amesema serikali inao uwezo wa kununua mabasi lakini tatizo ni usimamizi na hawawezi kumsimamia msimamizi ambae hawezi na leo amemuweka pembeni mkurugenzi wa fedha na mwingine anamuachia Rais kwani yuko kwenye mamlaka yake.
Achana na Chatu gang hao.Tulia wew! Wapigaj gan wanataka kurudi? Hicho anachokihoji wazir mkuu ni cha leo au jana? Wazir anamaanisha mwendokas imeshindwa kujiendesha ikiwemo kununua magari mengine zaid ya yaleyale yaliyonunuliwa na serikali. Kama wapigaj wanataka kurudi bas walisharud tang enzi ndo maana wazir mkuu kashangaa hata hela ya kununua magari mengine hawana.
Hahahaha haaaminiki.Ni nani anaeweza kumthamini huyu bwana? Ni bahati tu kuwa bado ni waziri mkuu na anaweza kubwajaja anavyotaka. Lakini toka siku ile aliposimama siku ya ijumaa, akiwa amevaa kanzu maridadi na baraghashia kali sana, akasimama mbele ya kibla cha msikiti na kuwatizama wananchi wa kiisalmu machoni na kusema maneno ya kupotosha, hakuna mwenye akili timamu anaeweza kuamini chochote kinachotoka katika kinywa cha huyu mtu. Uwe muislamu, uingie msikitini, siku ya ijumaa, usimame mbele ya kibla na udanganye halafu unategemea watu wakuamini tena?
Ni chatu gang anataka kurudi kwenye kiki.Majaliwa aachane na uongozi wa kiki
Kama kweli anataka kushughuiia hilo suala siyo lazima kukoromeanakoromeana Laivu anaweza kufuata taratibu za kiofisi kupata taarifa .
Haya mambo yameshapitwa na wakati
Sio kwamba Jamaa Ni wa namungo[emoji1]Tokea atudanganye kuhusu Afya ya aliyekuwa Rais Hayati Dkt. Magufuli kuwa yuko Ofisini anachapa Kazi ( na Kaongea nae akiwa kalala ICU kwa Mzena ) wakati kumbe tayari Israeli alishafanya Kazi yake nimeacha Kumuanini japo ni Mwana Simba SC Mwandamizi mwenzangu pia.