Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
F28E3FF9-7631-4B11-8F6A-B91847C568F8.jpeg

Watumishi mjiandae kutega sikio
 
TAMKO LA SERIKALI! Serikali inatoaje tamko kwenye suala ambalo Serikali yenyewe ndio mtekelezaji? Maana tamko linatakiwa kutolewa na asiye mtekelezaji, usually inferior side, na kusubiri response ya mtekelezaji.
 
Inatakiwa TUCTA na SERIKALI kwa pamoja watoke wawaambie watumishi wa umma nini kilitokea kiasi cha kuleta taharuki mbaya kiasi kile kwa watumishi na umma wa Watanzania kwa jumla...

Na vyema wakakiri makosa na wafanye marekebisho haraka na mapema iwezekanavyo ili kurudisha morali na imani ya watumishi kwa mamlaka za maamuzi/serikali....
 
Siyo mishahara ya Serikali tu. Tuna taka tamko la jumla pamoja na Private. Sector zote
 
Kama Rais alitangaza 23% kilichofanyika ndio hicho tulichopata,Waziri mkuu ataweza kunusuru kilio cha wafanyakazi?
 
Aendelee tu kuchochea moto. Na asisahau wafanyakazi wanatambua fika hao viongozi ni vibaraka wao. Hivyo watapambana kivyao kufidia ma gap.
 
Back
Top Bottom