Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usanii umewajaa tu!Kwa CAG Hasara Lukuki,,Kwa PM Faida Lukuki,,Wati The Fakiii Nchi....!!!
Kwa CAG Hasara Lukuki,,Kwa PM Faida Lukuki,,Watyi Ze Fakiii Nchi....!!!
Waziri mkuu hesabu za kutoa na kujumlisha inamana bado zinamchanganya.?Kwenye biashara huwa hatuangalii sana mapato yanayopatikana kwa siku, wiki, mwezi au mwaka! Ila huwa tunaangalia uwiano wa hayo mapato, matumizi na faida iliyopatikana!
Kwa hiyo nadhani PM angetuambia pia hilo shirika limeingiza faida kiasi gani kwa mwaka! Na siyo kuja na story ya mapato pekee.
Ndio ujue hakuna viongozi hapo!Kwa CAG Hasara Lukuki,,Kwa PM Faida Lukuki,,Watyi Ze Fakiii Nchi....!!!
Na matumizi Tsh ngapi?Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akitoa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa mwaka 2025/2026, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliambia Bunge la Tanzania leo Aprili 09, 2025 kuwa katika kipindi cha Februari mwaka 2025 jumla ya abiria 3, 818, 567 walisafirishwa kutoka abiria 822, 232 waliokuwepo mwaka 2021.
"Mheshimiwa Spika, ongezeko la ndege limechangia pia kuongezeka kwa idadi ya abiria wanaohudumiwa kutoka abiria 822,232 mwaka 2021 hadi abiria 3,818,567 Februari, 2025; mizigo kutoka tani 2,567 mwaka 2021 hadi tani 5,730.48 Februari, 2025. Kadhalika, mapato yameongezeka kutoka shilingi bilioni 254 mwaka 2021 hadi shilingi trilioni 1.5 Februari, 2025." Amekaririwa Mhe. Majaliwa.
Waziri Mkuu Majaliwa pia ameeleza kuwa ATCL imeongeza safari zake kwenda nje ya nchi ambapo ndege zake zinasafiri kwenda Johanesburg Afrika kusini, Guangzhou China, Mumbai India, Lubumbasi DRC, Lusaka na Ndola Zambia, Harare Zimbabwe na Dubai, Falme za Kiarabu.
Kulingana na Mhe. Majaliwa, Jumla ya Trilioni 1.49 zimetumika kununua ndege saba, sita zikiwa za abiria na moja ya mizigo suala ambalo limewezesha Ndege za ATCL pia kufanya safari zake kwenda Nairobi Kenya, Entebbe Uganda, Bujumbura Burundi, Moroni Comoro, na Hivi karibuni shirika hilo linatarajiwa kufanya safari za moja kwa moja kutoka Dar Es salaam hadi Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Tuna Hali Mbaya Sana Kama Mambo Yenyewe Ndio Haya,,Ujinga UmemwagikaNdio ujue hakuna viongozi hapo!
Alafu Sasa Ndio Waziri Wa Nchi Na Kwenye Ile Ripoti Alikwepo,Labda Hakusikia Au Hakusikiliza,,Au Anasikia Lakini Huwaga Asikilizi Na Kama Hasikilizi Na Bado Anasikia Basi Hajui...Vituko Ni Vingi Sana Na Inaumiza MnooWaziri mkuu hesabu za kutoa na kujumlisha inamana bado zinamchanganya.?
Hiyo ni tabia ya kuzoea kudanganya umma kwa hiyo anaaminisha watuwenye ujinga kwamba ATCL inafanya vizur wakati ukaguzi unaonesha hasara kwa kila kituAlafu Sasa Ndio Waziri Wa Nchi Na Kwenye Ile Ripoti Alikwepo,Labda Hakusikia Au Hakusikiliza,,Au Anasikia Lakini Huwaga Asikilizi Na Kama Hasikilizi Na Bado Anasikia Basi Hajui...Vituko Ni Vingi Sana Na Inaumiza Mnoo
Mkuu huyu hakutaja faida bali kasema mapato yaliyopatikana kwa muda huoKwa CAG Hasara Lukuki,,Kwa PM Faida Lukuki,,Watyi Ze Fakiii Nchi....!!!
Kumbe jamaa hajaacha uongoShirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akitoa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa mwaka 2025/2026, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliambia Bunge la Tanzania leo Aprili 09, 2025 kuwa katika kipindi cha Februari mwaka 2025 jumla ya abiria 3, 818, 567 walisafirishwa kutoka abiria 822, 232 waliokuwepo mwaka 2021.
"Mheshimiwa Spika, ongezeko la ndege limechangia pia kuongezeka kwa idadi ya abiria wanaohudumiwa kutoka abiria 822,232 mwaka 2021 hadi abiria 3,818,567 Februari, 2025; mizigo kutoka tani 2,567 mwaka 2021 hadi tani 5,730.48 Februari, 2025. Kadhalika, mapato yameongezeka kutoka shilingi bilioni 254 mwaka 2021 hadi shilingi trilioni 1.5 Februari, 2025." Amekaririwa Mhe. Majaliwa.
Waziri Mkuu Majaliwa pia ameeleza kuwa ATCL imeongeza safari zake kwenda nje ya nchi ambapo ndege zake zinasafiri kwenda Johanesburg Afrika kusini, Guangzhou China, Mumbai India, Lubumbasi DRC, Lusaka na Ndola Zambia, Harare Zimbabwe na Dubai, Falme za Kiarabu.
Kulingana na Mhe. Majaliwa, Jumla ya Trilioni 1.49 zimetumika kununua ndege saba, sita zikiwa za abiria na moja ya mizigo suala ambalo limewezesha Ndege za ATCL pia kufanya safari zake kwenda Nairobi Kenya, Entebbe Uganda, Bujumbura Burundi, Moroni Comoro, na Hivi karibuni shirika hilo linatarajiwa kufanya safari za moja kwa moja kutoka Dar Es salaam hadi Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kwahiyo CAG Ndio Alitaja Faida?Mkuu huyu hakutaja faida bali kasema mapato yaliyopatikana kwa muda huo
Ngoja TuoneHiyo ni tabia ya kuzoea kudanganya umma kwa hiyo anaaminisha watuwenye ujinga kwamba ATCL inafanya vizur wakati ukaguzi unaonesha hasara kwa kila kitu
Hawa jamaa wanaona kila Mtanzania ni mbumbumbu mzungu wa reli. Statements kama hii ya Waziri Mkuu ni matusi kwa Watanzania kwamba hawana uwezo wa kufikiriKwenye biashara huwa hatuangalii sana mapato yanayopatikana kwa siku, wiki, mwezi au mwaka! Ila huwa tunaangalia uwiano wa hayo mapato, matumizi na faida iliyopatikana!
Kwa hiyo nadhani PM angetuambia pia hilo shirika limeingiza faida kiasi gani kwa mwaka! Na siyo kuja na story ya mapato pekee.