We ulitaka atoe taarifa kuwa Rais kafariki msikitini. Kumbuka katiba ya JMT inamruhusu makamu wa Rais kufanya hivo. Be positive Brother.Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, Magomeni Mwembechai sokoni?
Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Mengine yote uliyoyataja ni kweli kabisa sifa hizo zote na nyingine ambazo hukuzitaja.1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Intelijensia ilimlazimu aseme Rais yu hai Ili kulitayarisha Taifa.Mbona hata Mkapa alichelewesha demice ya Mwalimu?Ni kweli PM hajasikika ni fisadi kama alivyo Tundu Lisu wa CDMNi muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, Magomeni Mwembechai sokoni?
Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Niwakumbushe kidogo tuuu. Hivi aliyeshirikisns na yule Mhaya kuuza shule za wazazi na kujinufausha siyo yeye? Hivi aliyemwambia mtumishi wa TPA kurudishia mita gage ya mafuta wakati wa ziara ya Gahafla ya magufuri bandarini akimwambai " Rudisha kama zamani , mweu anakuja hukoa' bahati mbaya akakamatika akirudishia na kufukuzwa kazi sio yeye kweli?Mtu muongo muongo mbabaishaji Hana nafasi.
Hujui kitu au umeamua kujitia upofu. Kwa ufupi ujue tu kuwa ndani ya uongozi wa CCM na Serikali, hakuna msafi hata mmoja. Wanazidiana tu kwa viwango wa uovu.1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Anaaminika na dola!!?neno kubwa hilo yaani dola inamwamini si ndio!?1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Tafuta ripoti ya Bashiru Ally juu ya uhakiki wa mali za CCM ndiyo utajuwa uchafu wa Majaliwa Majaliwa Kassim. Isingekuwa busara za Mkapa (RIP), Magufuli alikuwa anamvua u-PM mapema mwaka 20171. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Mbona mnatuchanganya makada wa ccm?Tusimame na mama au majaliwa1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Hebu rudia tena kituko ulichoandikaAliyeongopa siyo KASSIM Majaliwa, aliyeongopa alikuwa Waziri Mkuu katika kutekeleza majukumu yake ya kazi.
Hapa tunamjadili Mwalimu Kasim Majaliwa
Nukuu:Mwenye hati chafu ya majaliwa kabla na baada ya uwaziri mkuu aweke hapa.
Mwenye CV ya wizi wa mali za umma za majaliwa aweke hapa
Mwenye ushahidi wa majaliwa kutumia madaraka vibaya kunyanyasa watumishi wa umma au mtu yeyote aweke hapa.
Tathimini yangu inaonyesha huyu kijana amejitunza bila kukubali kuathiriwa au kulewa madaraka.
Tusikubali kupoteza tunu kazi hizi; huyu ni type ya akina Sokoine tumlinde
Ni mwongo balaa, yaani ni professional Liar.1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Kama Yuko tayari kuongopa sababu ya Cheo, atatufaa nini?Aliyeongopa siyo KASSIM Majaliwa, aliyeongopa alikuwa Waziri Mkuu katika kutekeleza majukumu yake ya kazi.
Hapa tunamjadili Mwalimu Kasim Majaliwa
Anaifaa Tanzania 2025, ana uthubutu,makini na Hana mchezo na wabadhirifu. Huyu angekuwa na full power Watanzania msingejuta kama sasa hivi1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.
2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.
3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa
4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma
5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.
6. Ana nafsi ya kumcha Mungu
7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele
8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia
9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.
10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.
Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?
Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.
Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Wacha weeeAnaifaa Tanzania 2025, ana uthubutu,makini na Hana mchezo na wabadhirifu. Huyu angekuwa na full power Watanzania msingejuta kama sasa hivi