Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, Magomeni Mwembechai sokoni?

Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
We ulitaka atoe taarifa kuwa Rais kafariki msikitini. Kumbuka katiba ya JMT inamruhusu makamu wa Rais kufanya hivo. Be positive Brother.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Mengine yote uliyoyataja ni kweli kabisa sifa hizo zote na nyingine ambazo hukuzitaja.

Lakini moja tu hana. HANA UWEZO NI MUOGA MNO HADI AGONGWE KONZI KIDOGO AU APAPASWE NDIO ANASTUKA aaahhooo kumbe mimi ni waziri mkuu ndio sasa anaact. Vinginevyo ni hana uwezo kabisa kabisa
 
Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, Magomeni Mwembechai sokoni?

Kumbe Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Intelijensia ilimlazimu aseme Rais yu hai Ili kulitayarisha Taifa.Mbona hata Mkapa alichelewesha demice ya Mwalimu?Ni kweli PM hajasikika ni fisadi kama alivyo Tundu Lisu wa CDM
 
Mtu muongo muongo mbabaishaji Hana nafasi.
Niwakumbushe kidogo tuuu. Hivi aliyeshirikisns na yule Mhaya kuuza shule za wazazi na kujinufausha siyo yeye? Hivi aliyemwambia mtumishi wa TPA kurudishia mita gage ya mafuta wakati wa ziara ya Gahafla ya magufuri bandarini akimwambai " Rudisha kama zamani , mweu anakuja hukoa' bahati mbaya akakamatika akirudishia na kufukuzwa kazi sio yeye kweli?
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Hujui kitu au umeamua kujitia upofu. Kwa ufupi ujue tu kuwa ndani ya uongozi wa CCM na Serikali, hakuna msafi hata mmoja. Wanazidiana tu kwa viwango wa uovu.

Huyo unayemsema, nenda Dodoma alikojengewa ghorofa na mfanyabiashara wa kiarabu. Halafu utuambie, huyo aliyemjengea hilo ghorofa lake, yeye anamlipa nini?
 
Muongo hawezi kuaminika tena uongo mwingine anautolea kwenye mimbar za Msikiti wa Ijumaa.

Huo ukiazi.
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Anaaminika na dola!!?neno kubwa hilo yaani dola inamwamini si ndio!?

Au dola ndio imemwambia agombee URAIS 2025!!?

Au ndio huyo FDR!!?anaetajwa tajwa humu tunaemsubiri!!?

Ngoja tuone!
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Tafuta ripoti ya Bashiru Ally juu ya uhakiki wa mali za CCM ndiyo utajuwa uchafu wa Majaliwa Majaliwa Kassim. Isingekuwa busara za Mkapa (RIP), Magufuli alikuwa anamvua u-PM mapema mwaka 2017
 
Nilifikiri ni Tanzania, kumbe ni Yazania.......bila shaka anafaa kuwa rais wa Yazania.
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Mbona mnatuchanganya makada wa ccm?Tusimame na mama au majaliwa
 
Mwenye hati chafu ya majaliwa kabla na baada ya uwaziri mkuu aweke hapa.

Mwenye CV ya wizi wa mali za umma za majaliwa aweke hapa

Mwenye ushahidi wa majaliwa kutumia madaraka vibaya kunyanyasa watumishi wa umma au mtu yeyote aweke hapa.

Tathimini yangu inaonyesha huyu kijana amejitunza bila kukubali kuathiriwa au kulewa madaraka.

Tusikubali kupoteza tunu kazi hizi; huyu ni type ya akina Sokoine tumlinde
Nukuu:
"Ikiwa haya unayosema ni sahihi unadhani kwanini 2020 alipita bila kupingwa huku wagombea wangine wa Ruangwa wakitekwa ?"

Thanks Quote Reply
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Ni mwongo balaa, yaani ni professional Liar.
 
Yuko makini sana nafuraishwa na utendaji wake, anafaa kuwa Rais wa nchi.Hababaishwi, hajivuni, anajua anachofanya.Kutoka kwa Magu kwenda kwa Samia tungesikia mengi lkn yeye kimyaa utadhani hakukwazika, kifua chake ni kipana sana.
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Anaifaa Tanzania 2025, ana uthubutu,makini na Hana mchezo na wabadhirifu. Huyu angekuwa na full power Watanzania msingejuta kama sasa hivi
 
Back
Top Bottom