Jamaa anajikaza kisabuni lakini ndani ya moyo kuna changamoto!Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
We mbona ushaombea watu kibao vifo na bado upo?Kabisa... Unawakumbuka waliosema Lowassa mgonjwa wengi wao hawapo duniani... sijui waliko... nisiulizwe please, kama ni Mars, Jupita etc sijui
Kuna watu wana mioyo migumu kama Farao FirauniHuyo safari hii asipoondoka
LAZIMA ATAJIREKEBESHA.
Kumbe kuna watu walisema kafa!?Mgonjwa anaweza kupiga kazi? Rais ni mgonjwa na hajafa wala hajatoka nje ya nchi. Anatibiwa hapa hapa.
Time will tellMuulizeni huyo mzushi wenu wa Nairobi mara India ana majibu yote, sawa!???
Don't go this low bro. Mnaheshima zenu humu.Magufuli anavyopenda kujimwambafy angekuwa mzima angeshajishebedua kwenye ma TV.
Rais ana nyege ya mic mpaka kanisani!
Mbona wewe huna kazi ya kufanya na hujafa!?Hawezi kufa. Unakufa kama huna kazi za kufanya, huyu hajaimaliza kazi bado.
Niamini mimiUnahakika
Nalea watoto. Au hiyo siyo kazi?Mbona wewe huna kazi ya kufanya na hujafa!?
Usiofu! kesho ataongea na wanainchi kwa viwango vile vile.Kiukweli nimem-miss sana rais wangu kipenzi tafadhari jitokeze mioyo yetu itulie mpendwa.
Si huyu Msukuma anayependa kwenda kanisani kusema linalomkera.Huyo rais anayeongea na Mkuu wa Mkoa kashindwa kupata dakika hata mbili za kupiga simu radio yake pendwa Clouds FM kuwaambia Watanzania yuko salama?
Kashindwa kabisa kujionesha hata kwa dakika mbili amalize mzozo?
Unahisi ikiundwa serikali mpya atakuwa waziri Mstaafu?Majaliwa aache kujipendekeza kwani wapambe wa Magufuli wamepanga kumtosa u PM
Serikali ya Kenya isingekubali magazeti yake yatumike.Unajitoa ufahamu siyo? Rais ni mgonjwa. Ameponea chupuchupu. Japo yuko Dar lakini bado hali yake haijawa nzuri. Wanavuta muda ili akiwa vizuri ndiyo ajitokeze. Masuala ya kupelekwa Nairobi na India ilikuwa geresha ili story yote ya kusema Magufuli ni mgonjwa ionekane ni uzushi. Najua unajua lakini unajitoa ufahamu.
Yaani unamaliza hewa. Wahi tu!Nalea watoto. Au hiyo siyo kazi?
Mmeshapigwa upper kati ......nyumbu bana!!Hii movie inaelekea mwisho, kuna upande utavuna aibu kubwa sana. Mungu sio wa kuchezea.anakuacha unatambaa lakini dakika zake za kukunyuka ziko palepale