Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Mlimtoa Dr. Mipango mbiombio kuja kuwaprove watu wrong akiwa mgonjwa tena anakohoa.

Imeshindikana nini kufanya hivyo kwa huyu?

Mwaka juzi wakati amezushiwa ndani ya siku mbili tu alijitokeza na kuwaprove watu wrong, inashindikana nini sasa hivi?

Mnatumia nguvu kubwa sana. Wajinga mtawapata.
 
Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.

I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Jamaa anajikaza kisabuni lakini ndani ya moyo kuna changamoto!
 
Uenda tukamwona j'pili, ni mcha Mungu sana si rahisi asiudhurie misa takatifu na kuongea na watz, kuwatoa hofu!
 
Jumapili ya kesho kutwa asipoonekana'' church ''na mimi nitaziamini radio mbao!
 
Waziri mkuu kamaliza mjadala, tuendelee kumuombea Raisi wetu aendelee kuchapa kazi kuwatumikia Watanzania ,Tuache kusiliza maneno ya wasaliti wa nchi yetu ambao wamekimbilia huko ulaya washindwe na walegee
 
Huyo rais anayeongea na Mkuu wa Mkoa kashindwa kupata dakika hata mbili za kupiga simu radio yake pendwa Clouds FM kuwaambia Watanzania yuko salama?

Kashindwa kabisa kujionesha hata kwa dakika mbili amalize mzozo?
Si huyu Msukuma anayependa kwenda kanisani kusema linalomkera.

Na alikua na ratiba ya kuwavisha nyota wajeda lazima angeenda tu
 
Unajitoa ufahamu siyo? Rais ni mgonjwa. Ameponea chupuchupu. Japo yuko Dar lakini bado hali yake haijawa nzuri. Wanavuta muda ili akiwa vizuri ndiyo ajitokeze. Masuala ya kupelekwa Nairobi na India ilikuwa geresha ili story yote ya kusema Magufuli ni mgonjwa ionekane ni uzushi. Najua unajua lakini unajitoa ufahamu.
Serikali ya Kenya isingekubali magazeti yake yatumike.
Waliyaacha yaseme sababu ni kweli.

Afu pia jua kuwa lazima hayo magazeti yaliulizia serikalini kama ni kweli au la
 
Back
Top Bottom