Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Sky Eclat naiona presha yako inavyopanda na kushuka. Pole sana kwa kumwombea Rais wetu mabaya, sawa? Tumekusamehe bure!
Mkuu kwani umemuona? Maana hao walituambia kila mwalimu kompyuta na kila kijiji milioni 50 ila mpaka leo hamna kitu so siwezi kuamini mpaka nimuone jembe
 
Very clear bila hata chenga, mmepata picha kamili kuna upendo mkubwa sana dhidi ya rais na serikali yetu.Ukweli utabaki kuwa rais na serikali inapendwa sana, inapendwa na wanafunzi wanaosoma bure bila ada,wapo wanaoshukuru hospitali mpya zilizojengwa na huduma Bora za afya. Wapo ambao hawakuweza kufanya shughuli zao za usafirishaji ila sasa miundombinu iliyoboreshwa wanafanya vyema shughuli zao za usafirishaji. Wapo ambao walidhulumiwa haki zao na mafisadi na vigogo na walionyimwa haki zao mbalimbali Mh rais ameacha alama mioyoni mwao.

Ukweli ni kuwa serikali inapendwa sana. Msidhani ni upendo wa walio nje ya nchi tu. Bali wengi walio ndani hapa Tanzania wanawapenda sana.

Mbaya zaidi wale wanyonge na wanaotambua yale mazuri waliyofanyiwa na serikali hawana muda na mitandao ya kijamii Bali wale waliotumbuliwa,waliotaka kufanya ufisadi,madawa ya kulevya,utakatishaji,uchu wa madaraka n.k ndio wamegeuka kuisema serikali ya Mh rais.

Viva Magufuli.Viva Tanzania
 
Watanzania huwa tuna hulka ya kutokumsema vibaya mgonjwa. Mara nyingi huwa tuna mezea mabaya yote na kuongea mema.
 
Hujui mambo ya usalama ,Waziri mkuu hana chochote cha kuhusika ma usalama wa Rais

Hapo ni TISS na VP tuu, huyo PM yuko anaelekezwa kufanya hayo Ili tu kuonesha kwamba mambo yako sawa.

Ukitaka ukweli fuatilia nyendo za VP
 
Mkuu kwani umemuona? Maana hao walituambia kila mwalimu kompyuta na kila kijiji milioni 50 ila mpaka leo hamna kitu so siwezi kuamini mpaka nimuone jembe
Kompyuta bila umeme inawezekana!??? Hukuona tunaanza na umeme kila kijiji!??? Wewe ni akili ya bamdogo tu 🙂
 
Very clear bila hata chenga, mmepata picha kamili kuna upendo mkubwa sana dhidi ya Rais na serikali yetu.Ukweli utabaki kuwa rais na serikali inapendwa sana, inapendwa na wanafunzi wanaosoma bure bila ada,wapo wanaoshukuru hospitali mpya zilizojengwa na huduma Bora za afya.

Wapo ambao hawakuweza kufanya shughuli zao za usafirishaji ila sasa miundombinu iliyoboreshwa wanafanya vyema shughuli zao za usafirishaji. Wapo ambao walidhulumiwa haki zao na mafisadi na vigogo na walionyimwa haki zao mbalimbali Mh rais ameacha alama mioyoni mwao.

Ukweli ni kuwa serikali inapendwa sana. Msidhani ni upendo wa walio nje ya nchi tu. Bali wengi walio ndani hapa Tanzania wanawapenda sana.

Mbaya zaidi wale wanyonge na wanaotambua yale mazuri waliyofanyiwa na serikali hawana muda na mitandao ya kijamii Bali wale waliotumbuliwa,waliotaka kufanya ufisadi,madawa ya kulevya,utakatishaji,uchu wa madaraka n.k ndio wamegeuka kuisema serikali ya Mh rais.

Viva Magufuli, viva Tanzania.
 
Au amezinduka kama wanavyosema kuwa ni "kawaida" yake, wapambe sasa wanapata nguvu ya kuja front na kunena jambo juu yake-Wiki nzima hii walikuwa kimya!
Atakuwa kaanza ku recover,ukitaka kujua ni fuatilia nyendo za VP kama kuongoza vikao alivyokuwa anafanya Rais na mambo ya security yake yakoje maana huyo ndio potential Ili kiziba ombwe la kiungozi na kiusalama sio hao akina Pm wao wanaelekezwa

Lakini kwa nini kuficha si mambo yawe wazi tuu kama siku zote?
 
Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe

Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Hiyo mtu wenu alipewa jina jipya kipindi cha kampeni,si unalikumbuka linahusiana na mambo ya kuchoma mkaa
 
Naona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.

NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
By the way hata TISS wanaweza kuvumisha habari Ili wapate mwanya wa kufanya mambo yao

Hata hivyo kwa nini kipenzi cha watu afanyiwe mambo meengi ya kufichia ficha? Ni dhahiri kuna shida si nje tuu hata huko ndani
 
Kama Rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?

Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?
Wewe endeleza kampeni za anaumwa na haonekani...
 
Hao sio wajinga wanaweza tengeneza picha ya kurekodi ionekane yuko ikulu anatoa maelekezo

Nchi za kijamaa ni shida sana
 
Ila safari hii kwa hili aisee Mzee baba ukiibuka huko JIREKEBISHE.
Maccm humu huwa yanajigariji kwamba wanaomuombea mabaya ni cdm lakini hata kitaa aisee nimeshangaa wengi hata hawasikitiki kwa lolote wanasubiri breaking news tuu

Maisha hayaendi kitaani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…