Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Mkuu mbona umepigwa na butwaa??
Katika mataifa yenye kuzingatia utawala wa bora, Waziri Mkuu & Co walipaswa kuwa kwenye suspected list ya assassination ya JPM.

RAIS ni mali ya umma, haki ya kufahamu wapi alipo, afya yake siyo suala la kudanganya umma. Kwa nini walidanganya wakati wakifahamu kuwa anaumwa /kafariki? Je watu wakisema walimtoa roho, wakajipanga namna ya kuutangazia umma!
 
Naunga mkono hoja yako
 
Nini Maoni yako baada ya kuwa Lissu was right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…