Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Kuna nini tena jamani!??? Si tumeambiwa na Rais wetu kipenzi tufutane machozi kwa upendo!??? Huu ujasiri mnautoa wapi sasa hivi, wengine hata peni tunashindwa kushika!??? Kama mizodoo imeanza sasa kabla ya maziko, msiba ukishasahaulika sijui itakuwaje!??? Hivi uleee msemo wa ^Kufa kufaana^ haupo tena!??? Naona ni mwendo wa kuvaana tuuuu!!! Anywezs, karibuni Chato tumsitiri kipenzi cha Watanzania, Shujaa wa Afrika, Mwanamageuzi, Mzalendo halisi 🙂
Hilo neno mzelendo unali abuse
 
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
1620924687294.png
 
Back
Top Bottom