jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
We are all human beings.Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We are all human beings.Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Hilo neno mzelendo unali abuseKuna nini tena jamani!??? Si tumeambiwa na Rais wetu kipenzi tufutane machozi kwa upendo!??? Huu ujasiri mnautoa wapi sasa hivi, wengine hata peni tunashindwa kushika!??? Kama mizodoo imeanza sasa kabla ya maziko, msiba ukishasahaulika sijui itakuwaje!??? Hivi uleee msemo wa ^Kufa kufaana^ haupo tena!??? Naona ni mwendo wa kuvaana tuuuu!!! Anywezs, karibuni Chato tumsitiri kipenzi cha Watanzania, Shujaa wa Afrika, Mwanamageuzi, Mzalendo halisi 🙂
Kesho ni arobain ya marehemuAsante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
[emoji120][emoji120].[emoji1241] .Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Uongo mkubwa kabisa kusemwa tokea Enzi za Kinjekitile Ngwale aliposema kuwa Risasi za Wajerumani zitageuka majiLeo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Uliona mbaliHaya ni majibu ya katibu wa CHADEMA, Mzee kwa kweli ni mgonjwa, angalia hata nyuso zao zinaonyesha tu.
Mkuu i salute you!! Bonge la U turnNakuhakikishia hapa kama hawatapiga U-turn ya haraka kuhusu kushughulikia Tatizo la Corona ni wanaenda kuisha wote!
😁😁😁😁😁😄😄😀U-turn ya karne!😄😄😄
View attachment 1789764
Yupo tu hata aibu hanaHivi huyu Majaliwa bado yuko ofisini akiwatumikia nani.