Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Alidanganya wananchi mchana kweupe. Yani hiyo haina tofauti na utapeli babu 😂

Nasikia huyo mwamba ni muumini wa hii makitu...
Mpotezee tu...
1619393470960.png
 
MKURUPUKAJI mwingine huyu 😜 vipi jiwe hajaibuka!?
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
 
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Nyie mnaambiwa kila siku kuwa wekeni akiba ya maneno...!! haya sasa
 
Kwanini uamini hapa ndio penyewe? Unatishwa na maneno? Majaliwa ambaye ndio waziri mkuu kasema Rais yupo sawa! Sio tu mgonjwa yupo sawa! Unataka kipi cha ziada?
Duh! Mkuu ulipotoka sana. Amin nakwambia, sisi sote ni wanadamu. Lakini naona wengi wenu hamkumchukulia kama na yeye ni binadamu kama wengine.
 
Back
Top Bottom