Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

I'm
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"

Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia

Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini

Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.

Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.

Awajibishwe law kutudanganya..ametujibu kunya sana
 
Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe

Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Amina
 
Hakusema hata kama rais anaumwa, alisema ni mzima anachapa kazi. Tumeambiwa alikuwa anaumwa muda mrefu tu.

Waziri Mkuu muongo.Tena kasema uongo msikitini sehemu takatifu kwa mujibu wa imani yake.
Majaliwa mwongo sana kaenda kuzungumza uongo msikini kwa mbwe mbwe na mipasho na vijembe kumbe mtu alikuwa anaumwa kwa zaidi ya miaka 10 kuliko Lowassa waliyesema akienda ikulu atakufa ndani ya miezi mitatu na kuwa ikulu siyo wodi ya wagonjwa wanapeleka jembe wakati huo hayati akija toleo la push ups na kuruka juu ya gari. Mwongo ni mwongo tu hata awe waziri mkuu alichokifanya kimemshushia hadhi sana bora angenyamaza au angeenda kusemea uongo wake kwenye majukwaa yao ambayo huwa wanayoyatumia kutudanganya na kututishia maisha lakini siyo katika nyumba ya ibada. Mbaya sana ile itabaki katika historia haifutiki. Sasa Lowassa yupo fanyeni kikao cha chama kwenda kumuomba radhi maana mlimdhalilisha sana kana kwamba ninyi ni Miungu. Huyo Napemwambieni awahi kuomba radhi hadharani maana ndiye alikuwa anatapika uchuro sana
 
Afu leo linajiliza
tena limejiliza kweli kweli...sidhani kama kuna mtu kalia kama hili jamaa...nadhani nafsi inalisuta sana kwa jinsi lilivyodanganya umma....na inavoonekana lilikua linasikilizia labda mambo yangeenda shwari....maana yamezoea kudanganya....so sad...
 
Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.

I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Upo ?
 
Mzima then kafa hapa sasa wananchi wanataka majibu kafanye mbona alikuwa ni mzima Hadi wamekamatwa waliosema anaumwa.
 
Back
Top Bottom