Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Una akili Sana we jamaa.

Na kwa kuongezea magazeti hayo husomwa dunia nzima,hivyo kwa kuandika vitu feki kwa lengo la kupotosha yatapoteza heshima na kuaminika kwake.hivyo yasingekua Tayari kurisk.

Tatu Kenya na sisi sio marafiki kivile Hadi kutumia vyombo vyao kupotosha.ili kumlinda stonman.

Kuna kitu hakiko sawa

Point
 
Kama ujanani alikuwa muhuni hivi,he uzeeni? IMG-20201118-WA0022.jpg
 
See!?? You're asking a totally awkward question. Tatizo la umeme lilikuwepo ama halikuwepo!??? Laptop zinatumia umeme au hazitumii!??? If the goverment had donated the promised laptops -- ukweli si uongo -- dunia nzima ingeshangaa & kustaajabu sana kupita maelezo!!! Hata doktaz wanajua first priority ya tiba lazima anapewa mgonjwa wa figo ama ini kuliko mgonjwa aliyechubuka mguu kwa ajali. Umeelewa, ama niongeze volume kidogo!???

Ongeza volume mkuuu
 
Back
Top Bottom