johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa.......!Shoka moja mkuu mbuyu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf bana kupata aibu dakika sifur tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.......!Shoka moja mkuu mbuyu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf bana kupata aibu dakika sifur tu
Rais atawashangaza wengi kama Yule Kim
Hopeless comment ever!!
Kuna watu wameumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeshapigwa upper kati ......nyumbu bana!!
mnapoteana sasa hv!!
Hawezi acha kufanya kazi zake ofisini aje afurahishe maboya
Achana na hao viumbe ,Matanga,mabingwa wa kusifu , kuabudu na kubadili gia angani! 🤣Hahahahahahah upper kati tena
Na ikitangazwa kuwa amekufa wewe na PM wako tukafanye nini??yupo yupo wapi?? Majibu yenu ya kipuuzi huko huko lumumba kenge nyinyi
Una akili Sana we jamaa.
Na kwa kuongezea magazeti hayo husomwa dunia nzima,hivyo kwa kuandika vitu feki kwa lengo la kupotosha yatapoteza heshima na kuaminika kwake.hivyo yasingekua Tayari kurisk.
Tatu Kenya na sisi sio marafiki kivile Hadi kutumia vyombo vyao kupotosha.ili kumlinda stonman.
Kuna kitu hakiko sawa
Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Hajui chochote......trust me
Hivi nyie mliokuwa mnamtegemea na kumwabudu Jiwe kama mungu wenu mkiambiwa Jiwe kafa mtafanyaje?
Yakitokea yakutokea huyu Kasim atawaambia nini watu
Sema Rais wetu mjanja hataki kuonekana ametulia tulii anawachora tuu
See!?? You're asking a totally awkward question. Tatizo la umeme lilikuwepo ama halikuwepo!??? Laptop zinatumia umeme au hazitumii!??? If the goverment had donated the promised laptops -- ukweli si uongo -- dunia nzima ingeshangaa & kustaajabu sana kupita maelezo!!! Hata doktaz wanajua first priority ya tiba lazima anapewa mgonjwa wa figo ama ini kuliko mgonjwa aliyechubuka mguu kwa ajali. Umeelewa, ama niongeze volume kidogo!???
Aliyezusha kifo amesaidia kuondoa hofu ya corona.
Kwa sasa hata ukiniambia Chadema kuna corona anakuchapa Makofi na kukuita mzushi