Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa kuwa yu mtu muongo hapaswi kuendelea na huo wazifa ajiuzru tuna tatu: Akitoa ahadi haitimizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa yu mtu muongo hapaswi kuendelea na huo wazifa ajiuzru tuna tatu: Akitoa ahadi haitimizi
Mkuu bado unaamini hayo uliyoandika?Hawezi kufa. Unakufa kama huna kazi za kufanya, huyu hajaimaliza kazi bado.
Bado ninaamini hivyo.Mkuu bado unaamini hayo uliyoandika?
Au ameshamaliza kazi!!!
Duuh....!Bado ninaamini hivyo.
Kama hauna imani hata nikikuambia utasadiki?Duuh....!
Kweli una imani ya kufufua wafu.
You lost your bet, man.Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Naona unang'ang'ana ka ruba......
utapasuka msamba
Rais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina Lisu
Labda walishaandika, utajuaje!!Mpaka sasa hivi kwa kiongozi mwenye ethics na anayejali heshima yake
Prime Minister, mwigulu nchemba na Albert chalamila walitakiwa wawe wameshamuandikia Madam President mama Samia barua za ku jiuzulu nyadhifa zao zote. Ili kulinda heshima zao na kwa manufaa ya nchi
Period
Hivi nyinyi mnao mbishia hata Waziri mkuu mna lengo gani?
Mjomba wako ni tapeli mchunguze vizuri utagundua
Kwani aliongea tarehengapi.Waziri mkuu haaminiki tena muongo sana yule baba.
Shoka moja mbuyu chini.
Maswali yalikuwa mengi kuanzia hapa nyumbani, Ubelgiji hadi Canada kwa Lema wote wakihoji alipo Rais Magufuli baada ya kuwa wamemmis sana.
Leo saa 5 na dakika kadhaa Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika alihoji alipo Rais Magufuli kwa niaba ya kambi ya upinzani.
Na mnamo saa 6 na ushee Waziri mkuu mh Majaliwa alisema Rais Magufuli yupo anaendelea na kazi zake kama kawaida.
Kwa maana hiyo mjadala huu naomba ufungwe na kila mtu akaendelee kuchapa kazi kwani majungu siyo mtaji.
Maendeleo hayana vyama!
Afisa kipenyo mwandamizi wa ufipani atakuwa
Akiongea na wasafi mkuu wa mkoa wa mbeya Albert chalamila amewatoa hofu wana mbeya kuwa mh. Rais yupo poa name anaendelea kupiga kazi kama kawaida na kuwata wana mbeya kuuza habari za waongo na wachawi.
'unavumisha msiba wa rais wewe utakuwa huna akili sawasawa na una roho ya kichawi' amesema mkuu wa mkoa wa mbeya
My take
Kuna watu watakimbia mitandao Leo.
USSR