Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mzima ndio maana nimesema "rumors has it "
Udaku huu cant be trusted at all.
Mzushi upo!!??
Upo Chato mjane!?Hivi Mr Mzungu nadharia ya Nairobi & India haiadvoketi tena, maana naona now kahamia Halotel --- stroke and sijui what what hukooo!??? Mr Confusion-in-Chief!!! Ama kweli ukianzisha uzi mmoja wa uongo lazima tu uanzishe uzi mwingine na mwingine na mwingine tena ili kila uzi ufunike ule uliotangulia, but where!
Yaani uzi wa uongo unakuwa mreeeeefuuuuu kama urefu wa reli & treni yetu ya umeme & mwendokasi. Asante na heko kubwa awamu ya 5 maana sasa Tanzania inakuwa zaidi ya Ulaya. Lazima Borris Johnson this time aje apangishe Ghetto Kigamboni ama Tanga!
Kesho wanaumbuka huko Chato,jamaa yako atatokea.Hivi hata wewe ukiamua kupumzika, hutaki mawasiliano na mtu kwa uamuzi wako mwenyewe majukumu ukawaachia wasaidizi wako nani atakutafuta, acheni kiherehere yaani mnakuja kuumbuka vibaya nyau nyie.
Upo Chato mjane!?
Labda na yeye pia alifichwaWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Ulishafyatuka akili kabisa we mzeeAsante Majaliwa; majibu yako ni kuwa Rais ni mzima wa afya na anaendelea na kazi zake. Mnafanya makosa kuacha habari hizi ziwe zinatokea kila baada ya muda fulani. S
ijui kwanini.... inawezekana ni security operation mnaifanya lakini hamlitendei taifa haki. Nashukuru swali langu la juzi limejibiwa na maisha yanasonga mbele.
Lakini bila Rais mwenyewe kuonekana ni wachache wataamini kauli yako (mimi si mmojawapo). Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki Watanzania!
Vipi, bado unaamini mjomba yake ni tapeli kweli?Mjomba wako ni tapeli mchunguze vizuri utagundua
[emoji23][emoji23][emoji23] Vipi wameshaumbuka?Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Vipi ameshaibuka? [emoji23][emoji23][emoji23]Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
Hahahah..nasikia.kafufuka !Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
HeheheeheheHili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Watu banaHaya ni majibu ya katibu wa CHADEMA, Mzee kwa kweli ni mgonjwa, angalia hata nyuso zao zinaonyesha tu.
Unaendeleaje wewe mbishi wa lumumba??Kufa mkuu kila mtu atakufa, ogopa Sana kujaza mawazo yako vitu HASI, kila neema, dhambi, utajiri, umakini, nk huanzia mawazoni mwetu....kufa kwa mtu yoyote hakuongezi wala kupunguza kitu kwangu au kwako...hapo ulipo unajua utakufa Sana ngapi?
😂😂Afu leo linajiliza