Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hivi PM alishaomba radhi kwa huu uongo wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa nchi zilizobarikiwa watu wenye akili tayari Kassimu Majaliwa wangempumzisha ila bongo twende twendeHivi PM alishaomba radhi kwa huu uongo wake?
Kwani alisema uongo? Huwezi jua labda yuko naye huko aliko...Hivi PM alishaomba radhi kwa huu uongo wake?
Alidanganya wananchi mchana kweupe. Yani hiyo haina tofauti na utapeli babu 😂Kwani alisema uongo? Huwezi jua labda yuko naye huko aliko...
Alidanganya wananchi mchana kweupe. Yani hiyo haina tofauti na utapeli babu 😂
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
MKURUPUKAJI mwingine huyu 😜 vipi jiwe hajaibuka!?
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Nyie mnaambiwa kila siku kuwa wekeni akiba ya maneno...!! haya sasaHili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!
Aisee!Ila naomba msibadili maneno yenu siku JPM akiibuka ..... siku hiyo TUTAWAKERA!
Unajisikiaje huko uliko..!?kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
vibaya Sana,to be honest!! Hakuna namna,Mambo mengi,mda mchache.Unajisikiaje huko uliko..!?
Kumbe aliongopa akiwa msikitini? Duuh! Uongo ni dhambi mbaya sana. Hata kwenye bible imewekwa wazi sijui kuhusu Quran.
Habari mkuu.Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Kumbe aliongopa akiwa msikitini? Duuh! Uongo ni dhambi mbaya sana. Hata kwenye bible imewekwa wazi sijui kuhusu Quran.
Bible inasema shetani ni baba wa uongo. Hivyo kusema uongo ni ushetani.
Duh! Mkuu ulipotoka sana. Amin nakwambia, sisi sote ni wanadamu. Lakini naona wengi wenu hamkumchukulia kama na yeye ni binadamu kama wengine.Kwanini uamini hapa ndio penyewe? Unatishwa na maneno? Majaliwa ambaye ndio waziri mkuu kasema Rais yupo sawa! Sio tu mgonjwa yupo sawa! Unataka kipi cha ziada?