duAkirudi hapa ni tag please.
Ufungwe kwanini ?, wewe kama hukufurahishi nenda kule kwenye jukwaa lenu la kijaniHuu uzi ungefungwa tu mods 😆 Moderator Maxence Melo
Yaani huyo ni mpuuzi bingwa, alijaribu kuwatisha waliokuwa wanasema ukweli kuhusua afya ya jiweKauli za Majaliwa zitamhukumu kwa muda mrefu ujao.
Bora hata mpango namsifu alijitutumua angalau tukamwona akajikaza akazungumza kidogo alafu akarudi wodini kumalizia drip na sindano.
Umepata funzo gani mkuu??Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
DuuKweli mkuu hii habari ilishawahi kuja hapa JF:
Ukitizama Ulimwengu kwa jicho kali, Matambiko haya mawili YANAIFUNGA TANGANYIKA/TZ kuinuka
1. tukio la kwanza lilikuwa ni tambiko ambalo lilifanya na wazee wa huko Musoma kijijini kwa Nyerere kupitia mizimu yao "NYAMURUNDA" kumzindika Nyerere ,kumkabidhi katika madhabahu ya kuzimu. 2. Tukio la pili la kitaifa ni tambiko la Bagamoyo kati ya Nyerere na wazee waki shirikina mbalimbali...www.jamiiforums.com
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Kumbe mtu alikuwa kwenye -20oCWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Jamaa alijiamini sana, kumbe alikuwa amezungukwa na mazimwi wala watu. Kwa nje walikuwa wanacheka na kufurahi ila mioyoni walimsagia meno.Tatizo poor security unit ya jpm MTU anapelekwa mhimbili kudungwa sindano hawashituki
FUSO, hivi hapa unataka kusema nini hasa? Nani alimdanganya nani hapa? Waziri Mkuu unadhani hapa aliongea na nani? Muongo hapa ni yupi?Mfuno wa nchi unafikia pahala unamdanya hadi Makamu wa Rais na Waziri Mkuu - hii nchi tuna matatizo mengi. Mimi kwa kauli hii simlaumu Waziri Mkuu.
Makamo wa Rais na yeye akapewa safari ili asiwe karibu na eneo la tukio - Bongo aiseee !!
Mnaona? Hivyo hivyo CCM wana bet na maisha yetu Watanzania. Wakati hatuna maji, hatuna umeme bila shaka wao huko wana bet we are fully fit and fine!I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
alipewa maelekeza aseme hivyo...same as ni nani alimpangia mama ziara wakati mzee yupo hoi kitandani na yeye akasema hivyo hivyo kwamba mwili lazima ujicheki cheki vijihoma vya hapa na pale.FUSO, hivi hapa unataka kusema nini hasa? Nani alimdanganya nani hapa? Waziri Mkuu unadhani hapa aliongea na nani? Muongo hapa ni yupi?
Namnukuu Waziri Mkuu, "Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia"
Aiseee
Kumbuka Waziri Mkuu hakusema amepata/amepewa taarifa, hapana, alisema ameongea naye (Magufuli?) kwa simu. Hakuna utetezi hapa, kama hakuongea na Magufuli, yeye ni muongo, period! Amewadanganya wananchi.alipewa maelekeza aseme hivyo...same as ni nani alimpangia mama ziara wakati mzee yupo hoi kitandani na yeye akasema hivyo hivyo kwamba mwili lazima ujicheki cheki vijihoma vya hapa na pale.
Kiswaswadu muongo sanaWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"