Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Taarifa hizi zilinipumbaza nikadhani zilikuwa sahihi; na hivyo nikawa namuombea JPM (RIP) kwa kiwango cha kawaida tu kama ambavyo nilikuwa namuombea siku zote.
Ningepata taarifa sahihi, ningepiga maombi katika namna ambayo sina uhakika sana kama JPM asingekuwepo leo!
Brain yangu ilishindwa kabisa kurekodi kwenye registry yake, tukio la msiba huu!
 
Labda na yeye alikua hajui yanayoendelea.
Alisema tuwapuuze waposhaji wa mitandaoni sasa tumempuuza yeye kwa kutupotosha tena akiwa msikitini. Halafu bila aibu ameshindwa hata kutuomba radhi kwa uongo mkubwa aliousema
 
emoji1787.png

Ajira za Baba kanituma.

Mwisho hotuba inakuwa upupu
 
Huu mzozo ungemalizwa kwa press conference ya rais ya dakika tano tu.

Ukweli kwamba wanashindwa kufanya hivyo unaonesha kuna jambo wanaficha.

Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.
Sasa tunajua.

Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.

Rest in protons Magufuli.
 
kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Majaliwa alitenda dhambi kubwa sana! I can imagine ulivyoumia 17/3.

Pole sana! Lakini siku nyingine usiwe mkurupukaji, maana waswahili walisema lisemwalo lipo na kama halipo basi laja.

Wewe badala ya kumshukuru Mungu na kumuomba zaidi, ukaishia kumuita JPM master kama vile afya na uhai wake aliucontrol yeye! Ninyi ndio mliipaisha hasira ya Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom