KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Ama kweli ukishangaa ya Musa......Kuna boko lingine alisemaga watu bilioni 3.9 walifatilia mazishi ya Maguftli. Nimeifufua jukwaa la habari na hoja mchanganyiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kweli ukishangaa ya Musa......Kuna boko lingine alisemaga watu bilioni 3.9 walifatilia mazishi ya Maguftli. Nimeifufua jukwaa la habari na hoja mchanganyiko
Kungekuwa hamna sheria ya kutotajana,ningemtaja.Sijui Kasimu anajisikiaje akipitia uzi huu Nina uhakika yupo humu kwa id fulani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mmhKungekuwa hamna sheria ya kutotajana,ningemtaja.
Mzena Hospital Mungu anawaona Chuma mlikiondoa hatiiiNaona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
WalikimbiaSafi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
AiseeNaona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
Aisee😅Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
🤭🤭Haha haaaaa..... eti mzima na anachapa kazi...
Kabisa yaaniHii thread inashtua sana nashauri
ifutwee, ifutwe.
"Rais Magufuli ni mzima...."
[emoji38][emoji38][emoji38]We we bado umo humu? Mna matatizo ya kuwaamini viongozi wenu waongo. Twambie Kalamaganda yuko wapi na ile juice ya Madagascar?
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Walidhani Mungu Ni mjumbe wa NEC ccm ..
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.