Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Halafu mbaya zaidi aliongopa akiwa ndani ya nyumba ya ibada!!

Kuna dini moja tu ambayo athari zake si kwa waumini wake tu bali kwa taifa zima la Tanzania na watu wake wote. Dini hiyo si Ukristo wala Uislaam, ni UCCM!

Ukishakuwa muumini wa hii dini hisia, fahamu na mantiki hupotea...ingawa unayo macho utatazama lakini hutaona, ingawa una masikio utasikiliza lakini hutaelewa!

Tunajenga taifa la ajabu ambapo hakuna tofauti kati ya wema na ubaya, hekima na uovu, ukweli na uongo ...vyote vimekumbatiwa kitaifa kwa vifijo, vigelegele na makofi!
 
Inasikitisha kwa kweli.
 
πŸ˜‚
 
Kiwi nyeusi imekolea vizuri sana kuchwani kwa Kiswaswadu
 
Siku zote nuru na Giza havikai pamoja
La sivyo mfumo utaharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…