Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Kwa kipindi hiki vipi mkuu?
Kama ningekuwa na nafasi ya kumshauri Mhe. Majaliwa. ningemwambia anyamaze kuhusu suala la kutoonekana Mhe. Makamu wa Rais. Watanzania bado hatujasahau jinsi alivyotudanganya suala la JPM - kwamba ni mzima na anachapa kazi! Tunatamani Mh Mpango awe ni mzima na anachapa kazi lakini Majaliwa haaminiki. Alishajiptotezea imani kwa watanzania1
 
Tatizo mnakiherehere sana, Rais wetu mpendwa ni mzima hana tatizo kama viongozi wanavyosema sasa nyinyi mnataka taarifa kutoka kwa nani hebu sema wewe unataka nani atokee akuambie?
Sawa..

Baba wa uongo akawaachia baba wa uongo mwingine.
 
Hivi, waziri mkuu ndo hua msemaji wa serikali? Na je,anaweza akaamua hivi hivi kutoa taarifa au kuna kamati inakaa ndo inatoa go ahead ya nini kisemwe,nini kisisemwe.

Sidhani kama hata rais mwenyewe ana huo ubavu wa kuamua kusema au kufanya anachokitaka.
Hapo naona anaonewa tu.
 
Haaminiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
12/03/2021 >>>> 12/03/2024

Leo ni miaka mitatu kamili tangu kauli hii itolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…