Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

So mlitaka awaambie Raus anaumwa.Sio sawa kuna taratibu.
 
BASI VEMA KAMA NI HIVYO, lakini msiwe kama katelefoni.....
Sema ketelefoni alikuwa anatekeleza yake ambayo bosi wake alitaka iwe hivyo. Unakumbuka Dkt JK alipokuwa na tezi dume alitaka isiwe issue ya public akiwa waziri wa Dkt JK, mwisho DKT JK akasema niwajulishe tu watanzania
 
Hii huwa inanikumbusha kama "meme".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…