Hapajawahi kuwa na PM wa hovyo kama huyu. Ndiyo maana shangazi zake aliwatoa sadaka.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine....
Amebanwa tu,ila ana roho nzuri.Huyu mzee mwanzo nilikuwa namuona ni kibonge la kiongozi kumbe naye ni hovyo kabisa
OvaDawa ya Uzuzu tuliyopewa Watanzania na Watawala wetu tokea Uhuru huenda ikawa inafanya Kazi kuliko hata Kinga kadhaa za Corona zilizopo duniani kwa sasa.
Kama una jitambua huwezi kukubali kuwa sehemu ya watesaji wa watu kisa kumfurahisha dikteta.Amebanwa tu,ila ana roho nzuri.
Kabisa.Mwenye shibe maisha yote hamjui mwenye njaa
Zimeshuka sana,hata mafuta ya kula sumu la Lt 20 ni shilingi 92,000/Kwani Sasa hivi gharama za maisha hazijapanda?
Safi SanaZimeshuka sana,hata mafuta ya kula sumu la Lt 20 ni shilingi 92,000/
Jibu zuri la mh.swali la nyongeza: je katika kuwasilisha budget ya sirikali ongezeko la kiasi Cha Mishahara, litafichwa kutajwa?Au litapewa kasima bandia? Mishahara ya watumishi ni component kubwa haiwezi kufichika kirahisi ni vema kuwa na serikali transparent kujenga Imani kwa watu wakeWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine...
Kabisa watu wengi waliounga maisha wana roho mbaya, nakumbuka lecture wangu chuo alijiendeleza toka ualimu wa upe alifanya somo lake lionekane gumu makusudi watu wateseke.Kwa ujumla walimu wana roho ngumu, omba usiongozwe nao. wamezoea maisha ya kujibana.
Huyu naye tulimtetea sana kumbe tungeacha tu Anko Magu akawadunde shangazi zake.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine...
Kazingua Sana hatuwezi hata kumtetea kwenye hiliPM naye kawa hopeless kabisa...
Yani anaamini kuwa mshahara ukiongezwa kimya kimya watu (watoa huduma) hawatojua ili kuipandisha gharama za maisha? Hizi ni porojo za kukosa pesa ya kuongeza mishahara.Kazingua Sana hatuwezi hata kumtetea kwenye hili
Kauli ya Majaliwa siyo ya kuichukulia serious hata siku moja. Huyu ni Waziri Mkuu kwa jina. Kama unategemea mshahara utapanda kwa kauli ya Majaliwa unaapoteza muda.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine.
Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini Wafanyakazi wa Tanzania watapandishiwa mishahara na kuboreshewa maslahi.
Waziri Mkuu amesema, "Eneo la Wafanyakazi peke yake ukitangaza hadharani kwamba tumepandisha mishahara kwenye masoko, vituo vya mabasi na huduma nyingine zote zinapanda".
Amekiri ni kweli wafanyakazi wengi wanasubiri kusikia kupanda kwa mishahara akisema hilo likifanyika linatengeneza ugumu wa maisha, hivyo bado Serikali inaendelea kutafuta njia nzuri ya kuongeza maslahi ya mtumishi.
Aidha, Waziri Mkuu ameeleza kuwa maslahi ya wafanyakazi hayapo kwenye mishahara tu bali pia kwa kuwapandisha daraja na kupunguza kiwango cha kodi.
Viongozi wa Serikali wote toka juu mpaka chini ni matatizo matatupu wanakuwa wametolowa toka mapango ya Stone Age hawajui taratibu za msingi za kuendesha Serikali ya Kisasa, wao wanaendesha jinsi wanavyoamka au wanavyofikiri ilitakiwa iwe. Taratibu za utendaji kazi na watendaji wenyewe ziko wazi kabisa lakini zisipofuatwa matokeo yake yanafika mbali haraka sana na madhara yanakuwa makubwa. Awamu ya Tano ilipoingia madarakani iliingia na matatizo mengi ikiwa ni pamoja na maslahi ya wafanyakazi kama kupandishwa vyeo, nyongeza za mwaka, marupurupu ya uhamisho na likizo nk yaliwekwa pembeni kimyakimya bila hata kutoa sababu. Miaka 5 yote Wafanyakazi walidai haki zao na kulalamika sana mpaka malalamiko yakafika nchi nzima mpaka kwa machinga na mamantilie nao wakisaidia kusinikiza Serikali itekeleze wajibu wake lakini haikusadia. Awamu zilizopita walitumia Sikukuu yao ya Mei Mosi kutangaza malipo yoyote ya muda mrefu ya wafanyakazi wote bila madhara yoyote. Waziri Mkuu ni walewale!Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine.
Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini Wafanyakazi wa Tanzania watapandishiwa mishahara na kuboreshewa maslahi.
Waziri Mkuu amesema, "Eneo la Wafanyakazi peke yake ukitangaza hadharani kwamba tumepandisha mishahara kwenye masoko, vituo vya mabasi na huduma nyingine zote zinapanda".
Amekiri ni kweli wafanyakazi wengi wanasubiri kusikia kupanda kwa mishahara akisema hilo likifanyika linatengeneza ugumu wa maisha, hivyo bado Serikali inaendelea kutafuta njia nzuri ya kuongeza maslahi ya mtumishi.
Aidha, Waziri Mkuu ameeleza kuwa maslahi ya wafanyakazi hayapo kwenye mishahara tu bali pia kwa kuwapandisha daraja na kupunguza kiwango cha kodi.