Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tunaboresha maslahi ya Wafanyakazi, sio lazima tuseme hadharani

Aidha, Waziri Mkuu ameeleza kuwa maslahi ya wafanyakazi hayapo kwenye mishahara tu bali pia kwa kuwapandisha daraja na kupunguza kiwango cha kodi.
Ndo maana waalimu wengi unasikia tunakubadilishià cheo cha muundo ila sio daraja la mshahara yaaani haya kuna jamaa hawana huruma kabisa.
 
Wameshafeli kwenye hili
 
Kwahiyo wakitangaza mshahara kupanda, bei za huduma zinapanda, mbona wakijenga barabara na miundombinu mingine bei hazipandi kwakuwa hiyo miundombinu watu wameiona na kusikia?
 
Subuutuuu. Waongeze mishahara wasitangaze???!!!!
 
Mimi ninachowasihi Serikali katika hili, baada ya kufanya nyongeza kimya kimya na kitu ambacho ni kizuri sana, wazisisitize taasisi husika kuhakikisha kuwa zinawapa wafanyakazi wake barua zinazoelekeza nyongeza hizo, na taasisi zitakazokiuka hili basi zichukuliwe hatua.

Kuna baadhi ya HR wana tabia ya kuonyesha ongezeko la mshahara kwenye SALARY SLIP tu, huku mtu husika akiwa hajapewa barua yoyote ile. All of a sudden mtu anakuja kugundua kuwa ni kweli mshahara umeongezeka ila kiasi anacholipwa kumbe ni cha ngazi D wakati yeye yuko ngazi E. Kumbe hata alipokuwa yuko ngazi D, alikuwa analipwa mshahara wa ngazi C. Hiki kitu kinashangaza sana, kwamba mtu ana mshahara wake halafu bado kuna mtu mwingine mahali anakaa analazimisha kukaa anakula mshahara wa mtu mwingine, halafu huyo tena eti ndiyo HR?

Wasipofanya hivyo, wataongeza mishara halafu mishahara hiyo itaishia kuliwa na wenye meno. Kuna baadhi ya watu wachcahe sana nchi hii, wana meno na matumbo, halafu wengine hawana
 
Well articulated Hon. PM
 
Wenyewe waongeze kupanda kwa gharama za maisha hilo Ni Jambo jingine hata mshahara usipopada maisha hayarudi nyuma! Kuna watumishi wanakufa wengine wanastafu wataongezwa lini?
 
Ila Katelephone ni mtu wa kamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…