Waziri Mkuu Lebanon asema watatekeleza azimio la umoja wa mataifa kwa kupeleka Jeshi mpaka wao wa Kusini kuchukua nafasi ya Hezbollah!

Mungu bariki Lebanon,kwani mbali na UN wewe pia uliamuru watu wa mataifa walinde mipaka yao
 
Kundi la Wanamgambo wa Hezbollah pia livunjwe na baadhi ya Askari wake waingizwe kwenye Jeshi la Nchi ya Lebanon
Huo mziki sio wa ñchi hii bila maridhiano na mikataba ya kuheshimiana hawatakubali
 
Nasrallah kafa au hajafa? Mbona unajitetea eti bomu halijafika kauwawa na mshtuko😂

Lazima uchanganyikiwe msimu huu
 
Kwaio vita ni kwa ajil ya kushindana? Hamuonei huruma watoto na wanawake wanateseka kwa ajili yenu magaidi ya hezbola
Tatizo anaye wauwa watoto ni nani? Si Israel hawezi kushindana na wanaume anakimbilia genocide. Sisi tunamini kila mtu atakufa hakuna atakae baki hai na anaye wambia Yesu yuko hai huyo akapime akili zake hakuna kurudi Yesu ataonekana siku ya kufufuliwa binadamu wote. Yesu atawapinga wanao sena alisema yeye ni Mungu zaidi ya hapo hana uamuzi wowote. Uamuzi ni wa Mungu tu.
 
Huyu anajichekesha
 
Taarifa hii inaonesha kuwa Lebanoni kumbe ni Taifa la watu dhaifu sana!

Jeshi la Taifa lipo lakini wanaacha mipaka walindiwe na paramiritary, tena wanaowaletea uhasama na majirani zao!

Sikujua kuwa siku nyingi tangia 2006 umoja wa mataifa ulishaweka azimio la kuondoshwa kwa kundi la Hezibollah kwenye ulinzi wa mpaka wa kusini kati yake na Israel!

Nimeshangaa pia kuwa kumbe kuna ombwe la uongozi wa top brass, nchi haina Rais kwa muda wa zaidi ya miaka miwili na sasa ndiyo wanashituka kuanza mchakato wa kumchagua kiongozi huyo!

Hatua hizi za kuondoshwa migambo ya Hizibollah kusini mwa Lebanoni kutaepusha umwagikaji wa damu kwa watu wasio na hatia na tunatumaini sasa amani itarejea.
 
Huko kuna Unifil.kwa nini wao wasichukue nafasi ya Hezeb
 
Sasa kumbe Nchi Ina jeshi, kwanini wakawacha wahuni wajitwalie tu kama wanavyotaka.
Wahuni walikua na nguvu kuliko jesh la serikali ayatollah aliinvest kwa wavuta bange
 
Safi sana.

Lebanon itakuwa sehemu salama pa kuishi.

GOD BLESS ISRAEL
 
mmajamaa yanajifichia kwa watoto yanawaita Marty's , nakumbuka hata vita ya ukraine wakati inaanza kuna wapuuzi walienda kujificha kwenye ward ya watoto putin akawa anafyatua tu ila kwa kua wazungu wanajali watu wao wakaacha huo ujinga mara moja
 
Kumbe ni fake victory? Kumbe na waliosaidia ni majasusi wa Israel? Kumbe mabomu hayakumfukia? Kumbe alikufa? Kumbe the mission was successful? UDINI UNAKUFANYA UNAKUWA MPUMBAVU SANA WEWE JAMAA. Hivi unazani hao Hezbollah wame reflux kabsa wana amani kama wew unayeandika uhalo humu? Hivi makamanda wote na viongozi walikuwa mafichoni wameuwawa. Pager waliokuwa wanatumia kuwasiliana zimelipuliwa nani anajua kabla ya kulipuliwa zilidukuliwa na zimesaidia vipi kurahisha ku allocate hao Marehemu na Israel kujua kila siri ya Hezbollah halafu wewe mjinga mmoja tu unaona Israel hatafanikiwa akiingiza ground force Lebanon
 
Kundi la Wanamgambo wa Hezbollah pia livunjwe na baadhi ya Askari wake waingizwe kwenye Jeshi la Nchi ya Lebanon
Tatizo wale askari wa Hezbollah wao wame focus kwenye wale dada zao 72
 
Tatizo wale askari wa Hezbollah wao wame focus kwenye wale dada zao 72
Kwenye Jeshi la Lebanon hawatachukua Fanatics na Jeshi la Lebanon halimpiganii Allah bali linapigania Nchi na kulinda Wananchi wake na kulinda Mipaka ya Lebanon.

Vita ya kumpigania Allah wataichia Hezbollah ambayo itabaki kuwa Chama cha Siasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…