Jeshi lime Wachia msala LebanonAl-Manar correspondent:
The Lebanese army evacuates the observation points on the front edge of the border with occupied Palestine to join the Saraya centers in the border towns
Hahaha!Jeshi lime Wachia msala Lebanon
Ngoja tuone mdugu mtanzania mwenzangu.Kwa wavaa kobazi
🤣 🤣
Mlisema Israel haziwezi kuingia Lebanon, mara vita za ardhini hawawezi.
Vijana wa Israel wakifika Miaka 19 wote wanaenda Jeshini, wanaenda Chuo na Kujifunza History ya Asili Yao...
Wakati sehemu zingine hao Vijana ni chawa wa Rais na wanabet
Ila Israel ardhini kweli ni mbovu, nguvu yao kubwa ipo angani.Kwa wavaa kobazi
🤣 🤣
Mlisema Israel haziwezi kuingia Lebanon, mara vita za ardhini hawawezi.
Vijana wa Israel wakifika Miaka 19 wote wanaenda Jeshini, wanaenda Chuo na Kujifunza History ya Asili Yao...
Wakati sehemu zingine hao Vijana ni chawa wa Rais na wanabet
Wewe jamaa n kenge kusikia mpaka damu zikutokeHawezi kuingiza jeshi lake Lebanon anajua kinacho mgojea hiyo fake victory ya Israel kwa kusaidiwa na majasusi wake ni ya temporary tu. Kwanza hilo boom.mnalo lisifia MK84 wala halikufika alipo kuwa Nasurlah, sababu nwili wake kuna mawili ama ni mshtuko wa yale maboom walio piga ton 80 au kuna chemical walitumia ndio kafa Nasurlah.
Yupo masjid uvinza kigomaWewe pia upo Lebanon?
Sio Israel, vita vya ardhini ni vigumu kwa nchi zote hata hiyo marekani ama urusi, kumbuka unapambana na wapiganaji waliofundishwa kutumia silaha ipasavyoIla Israel ardhini kweli ni mbovu, nguvu yao kubwa ipo angani.
Anaishi gaza na lebanon huyu kobazHata kule Gaza kumbe IDF hawakuthubutu kuingiza jeshi, mpaka leo bado lipo mpakana lakini vyombo vya habari vinadanganya kuwa Israel wapo Gaza
Mambo ya vita ya ardhini kinachotofautisha ni mtizamo wa watawala na wananchi kuhusu kifo.Sio Israel, vita vya ardhini ni vigumu kwa nchi zote hata hiyo marekani ama urusi, kumbuka unapambana na wapiganaji waliofundishwa kutumia silaha ipasavyo
Hezbollah ndo wenye uwezo wa kulifuta jeshi la Lebanon na kuikalia Lebanon yote.Sasa kumbe Nchi Ina jeshi, kwanini wakawacha wahuni wajitwalie tu kama wanavyotaka.