Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

Mwakabibi Mkurugenzi Wa Zamani Wa Kakonko... Familia ya Yule Headmaster Haitakusahau Kamwe..!!! Wananchi wa Kakonko hawatakusahau Kamwe katika Uchaguzi Mdogo baada ya Kifo Cha Mbunge Bilago.
 
Narudia bado angetakiwa kusema sikubaliani na haya matumizi hivyo naagiza vyombo husika vifanye uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki, haya mambo ya kuhukumu watu majukwaani as if wao ni Mahakama hayafai, na je wao wanapokosea nani huwa anawanyooshea vidole au ndiyo wakubwa huwa hawakosei???
Uchunge nn wakati barabara za tanroad tu hutumia 1bil kwa kilometer moja huyo ded katumia 3bil kwa 1km barabara za tarura hizi, jela ndyo mahali sahihi kwake huyo jamaa
 
Narudia bado angetakiwa kusema sikubaliani na haya matumizi hivyo naagiza vyombo husika vifanye uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki, haya mambo ya kuhukumu watu majukwaani as if wao ni Mahakama hayafai, na je wao wanapokosea nani huwa anawanyooshea vidole au ndiyo wakubwa huwa hawakosei???
Watz ni wapumbavu sana!

Unampangia PM kazi?

Mtu ana nyenzo zote za kumsaidia kufanya kazi alafu wewe kiazi tu unakuja unasema ilitakiwa afanye hivi na hivi? Ili kumlinda nani?

Ndio maana huwa nasema kuwapigania watz ni ujinga mtupu! Ukipata nafasi piga hela ondoka. Maana mijitu yenyewe ndio kama hivi haijitambui
 
Sisi wananchi tunahitaji ni katiba mpya tuu kama hasara tumepata sana hata uchaguzi wa viini macho mlio ufanya umetutia hasara wananchi bila sababu
 
Mie hawa wakurugenzi hata wakipigwa risasi potelea mbali.

Wengi wao hawana weledi kbs katika kutimiza majukumu yao.

Mara waendeshwe na madiwani.

Wakija kwenye uchaguzi ndio hovyo kabisa.

Wavune tu wanachopanda.
 
IQ ya majaliwa iko chini sana, hajui mipaka ya kazi yake. Huwezi kuamru watu wafikishwe mahakamani kabla hujafanya uchunguzi. Mwishowe ataamru hakimu ampe adhabu anayotaka yeye. Hafai kwa urais
Wa Tz nyie ni watu wa ajab sana...nawafananisha na [emoji527]

Yaan mnatetea ubadhirifu wa mali ya umma..walah ningekua na mamlaka aisee ..daah...yaan mnataka viongoz wa wafanyeje kaz...yaan ni kubeza kiiila siku...was....e kwel
 
Hivi akisema nilitumwa na mwendazake na pesa ilitumika kwenye uchaguzi watamfanya nini?
 
It is possible (cu+fill),posho za vikao, consultancy fee kama walikuwepo, idadi ya structures (culverts/daraja),mifereji, road signs, n. k.
Unaweza kushangaa hiyo fedha ikawa ndogo kama kiwango cha lami kiliwekwa cha kawaida sambamba na upana wa barabara kuwa wa kawaida tu tofauti na barabara za nje ya mjini.
Hata kama sio wataalamu wa barabara usitupige uongo bwana bilioni 5.4 kwa km 1.8 Huo ni wizi tena wa wazi wazi kabisa.
 
Watz ni wapumbavu sana!

Unampangia PM kazi?

Mtu ana nyenzo zote za kumsaidia kufanya kazi alafu wewe kiazi tu unakuja unasema ilitakiwa afanye hivi na hivi? Ili kumlinda nani?

Ndio maana huwa nasema kuwapigania watz ni ujinga mtupu! Ukipata nafasi piga hela ondoka. Maana mijitu yenyewe ndio kama hivi haijitambui
Sema wewe ndiye mpumbavu, tena ambaye umeshikiwa akili. Hivi yule aliyedanganya umma, tena msikitini ni nani vile?? Ujinga ni kuamini eti ukiwa kiongozi una akili nyingi sanaaa, na kwamba kiongozi eti hakosei. Hivi kama hawa viongozi hawakosei ni kwa nini kila siku wanakimbilia bungeni kutunga sheria mpya za kinga ili wasistakiwe?? Acha umburula wewe...
 
Huyu ndo alisaidia ccm kupora uchaguzi kule kigoma, chap akahamishiwa Temeke, Safi sana malipo ni hapahapa.
 
Sema wewe ndiye mpumbavu, tena ambaye umeshikiwa akili. Hivi yule aliyedanganya umma, tena msikitini ni nani vile?? Ujinga ni kuamini eti ukiwa kiongozi una akili nyingi sanaaa, na kwamba kiongozi eti hakosei. Hivi kama hawa viongozi hawakosei ni kwa nini kila siku wanakimbilia bungeni kutunga sheria mpya za kinga ili wasistakiwe?? Acha umburula wewe...
Baki na upumbavu wako!

Ndio maana nasema kuwapigania watz wapumbavu kama nyie ni ujinga mtupu!
 
Back
Top Bottom