Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

Vipi kuhusu suala la Wizara ya fedha? Maana inastua kidogo kwa kimya hiki!
 
Sote tunajua hakuna kitakachofanyika. Anabwabwaja, anaondoka kisha anasahau.
Nadhani hiki ndicho baadhi ya 'watu' wanataka kiwe ili ionekane hana nguvu za kuhakikisha maagizo yake yanatekelezeka. Lengo huko mbeleni wasipate shida! Hajausoma mchezo?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi takukuru bila maagizo huwa haifanyi kazi au vipi. Maana ingekuwa imepeea maagizo hata waliotajwa kwenye ripoti ya cag wangekuwa washaanza kuwashughulikia ila kwa sababu hawajapewa maagizo basi wapo tu.
Takukuru ni kama haina meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…