Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine zaidi ya 80.
Pia, amesema kuwa Serikali imeunda timu ya watu 19 kwa ajili ya kukagua ubora wa majengo yote yaliyopo eneo la Karakoo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan.
Majaliwa ameyasema hayo leo Novemba 18, 2024 wakati akiongoza waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki baada ya kudondokewa na jengo hilo kwenye tukio lililofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Walikuwa wanasubiri nini? Yani hii nchi ina vituko sana. Kwahiyo polisi hawawezi kufanya wenyewe hadi waagizwe. Kwahiyo asingesema w/mkuu wasinge mtafuta.
While The Prime Minister's Office and Tanzania Red Cross Society sleeps in the middle of the Kariakoo debacle, a social media personality who goes by the name Niffer raises millions for Kariakoo victims. Only to be rebuked by the Prime Minister for raising funds without essentially what amounts to an official permission.
While the concern to control fundraising, depending on various factors, may be valid and legitimate, one wonders why is The Prime Minister's Office (the office charged with disaster management) or The Tanzania Red Cross Society not in front of this?
Better yet, why don't these established offices join forces with these popular personalities and use their existing social media following, essentially making them the public faces of the fundraising outreach?
Pia, amesema kuwa Serikali imeunda timu ya watu 19 kwa ajili ya kukagua ubora wa majengo yote yaliyopo eneo la Karakoo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan.
Mpaka WANAKUFA watu kumi Bado mwenye jengo alikuwa uraiani Tena nyumbani kwake Cha mwisho mwisho akisubiri pm atoe kauli ya kumkamata mwenye jengo ilo?
Hili nalo mkalitizame this is rubish
SIKUTEGEMEA pm aanze kutishiwa na msanii ANAE dai anajeshi kubwa Rais waziri wako haifai hatoshi
Mmiliki ni ninani?je awali palikiwa na jengo Gani?mmiliki wa awali alikuwa nani? Je alinunua kutoka kwa nani? Je alilipa fedha kwa mmiliki wa awali? Je ni kweli mmiliki ni Kigogo?je Kigogo kayeyuka?je amepitia njia Gani?amerukaje mpaka?