GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa nategemewaItapendeza kama utawashugulikia wale vibopa wote wk zao ili bongo zao zikae sawa...hebu lianzishe
Ova
VP MMILIKI ASHAKAMATWAWaziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine zaidi ya 80...
MODS MNAUA MADA.Watu waliofariki kutokana na kuporomoka jengo Kariakoo imefikia 29.
Hawa ni binadamu, waliojiajiri, hawakusubiri serikali iwatafutie ajira.
Wamakufa kwa uchungu kutokana na , nawza kusema, uzembe wa serikali kushindwa kusimamia watendaji wake.
Mbaya zaidi ni huyo mwenye jengo au wenye jengo ambao majirani wamesisika wakisema jengo lilikuwa linafanyiwa matengenezo kwenye misingi.
Lakini tunachotaka kusikia ni nani mhusika wa hilo jengo.
Serikali ni mzembe wa kwanza kutojua nini kinaendelea, lkn haisababishi mhusika kutowekwa hatiani.Unataka umpeleke wapi wakati yashatokea yakutokea ungesema serikali ianze ukaguzi wa ghorofa kariakoo ningekuelewa
Anakosa gani?Serikali ni mzembe wa kwanza kutojua nini kinaendelea, lkn haisababishi mhusika kutowekwa hatiani.
Kwa cmnt hii,ilitakiwa zile gorofa 63 zishuke zote kwa pamojaUnataka umpeleke wapi wakati yashatokea yakutokea ungesema serikali ianze ukaguzi wa ghorofa kariakoo ningekuelewa
Nakuunga mkonoKwa cmnt hii,ilitakiwa zile gorofa 63 zishuke zote kwa pamoja
Labda ndy mtatia akili na gorofa hizo 63 zikishuka +kuletaa maafa uokozi wake lazima utachkua miaka 2 ..... no kko wala hakuna cha kko
Ova
Hadi leo mmiliki hajulikani au hakamatiki?Plot number tu unapata jina la mmiliki, labda hawana sh 40,000 ya kulipia searching wizara ya ardhi.