Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ni kwa nini katika ziara zake viongozi wa kisiasa hawaguswi hata wakiwa na madudu? Wakuu wa wilaya za Nsimbo Katavi na Kalambo Rukwa wamehusika wazi wazi kuhujumu miradi ya hospitali za wilaya/vituo vya afya katika maeneo yao.Lazima ajikite kwa watu wa chini kwa sababu huku ndiko Kuna miradi ambayo watu wa kawaida wanaiona na pia ndiko anaweza kukutana naonkwa kiki nk...
Lakini hakuna waliposimamishwa kudhalilishwa. Kituo cha afya Nkomolo wikaya ya Nkasi hakuna kiongozi amepekekwa pale tangu kilipofanyiwa ukarabati 2017 na Takukuru na Usalama wanajua nani walifanya nini pale.
Juzi waziri mkuu katoka huko lakini hata kupitishwa njia ya karibu na Kituo hicho hakupita. RIP Kanumba, umesaidia watanzania wote kuwa wasanii.