Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Uchawa kwa kwenda mbele. Rais mwenye mapenzi na nchi yake hawezi kuendekeza abductions, torture and/or cold blood killings of those who criticize the government!Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika.
Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025
Mhe, Rais hatua miradi hii ilipofikiwa ilikuwa asilimia ya kuanzaia. Mhe Rais ulianza kutafuta pesa ndani na nchi na kote dunia na ukafanikiwa ukaanza kuijenga, wewe unamapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania.
Hawa CCM wangekuwa wanamwabudu Mungu kama wanavyomwabudu Samia basi mvua ya dhahabu ingenyesha. Huu ni ukweli kabisa, Samia amepewa nafasi ya Mungu. Hivi mtu anaposhabikia mauaji nakusema muuaji ana mapenzi mema si ni kumkufuru Mungu?Uchawa kwa kwenda mbele. Rais mwenye mapenzi na nchi yake hawezi kuendekeza abductions, torture and/or cold blood killings of those who criticize the government!
Hivi ni sawa akirudi bungeni na kuwa mbunge wa kawaida kutoka UPM?PM naye ameanza kuogopa jina lake linaweza kukatwa asirudi Bungeni?😀
Anaogopa "makasimu tuyaache nje"PM naye ameanza kuogopa jina lake linaweza kukatwa asirudi Bungeni?😀
You’re right. Haya majitu hayana kabisa hofu ya Mungu!Hawa CCM wangekuwa wanamwabudu Mungu kama wanavyomwabudu Samia basi mvua ya dhahabu ingenyesha. Huu ni ukweli kabisa, Samia amepewa nafasi ya Mungu. Hivi mtu anaposhabikia mauaji nakusema muuaji ana mapenzi mema si ni kumkufuru Mungu?
Bora apumzike tu,ila wanasiasa hawana aibu,Ndugai si yupo Bungeni na anautaka tena ubungeHivi ni sawa akirudi bungeni na kuwa mbunge wa kawaida kutoka UPM?
NI sawa. Refer to John malecelaHivi ni sawa akirudi bungeni na kuwa mbunge wa kawaida kutoka UPM?
Chawa mwingine huyu.Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika.
Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025
Mhe, Rais hatua miradi hii ilipofikiwa ilikuwa asilimia ya kuanzaia. Mhe Rais ulianza kutafuta pesa ndani na nchi na kote dunia na ukafanikiwa ukaanza kuijenga, wewe unamapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania.