PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia wewe una mapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania

PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia wewe una mapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kumbe kutumia Malori kwa ajiri ya usafirishaji wa binadamu ni ruksa ! Baada ya ziara za huyu jamaa kuisha na mie niingize ka town hiace kangu road nibebee raia kutafuta mia mia.
 
Majaliwa kumsifia sa100 (boss wake) sio habari, ni sawa na mme kumkaza mkewe wa ndoa!
 
Back
Top Bottom