Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 Jun 19, 2025 #21 Lycaon pictus said: Hivi ni sawa akirudi bungeni na kuwa mbunge wa kawaida kutoka UPM? Click to expand... Hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho!
Lycaon pictus said: Hivi ni sawa akirudi bungeni na kuwa mbunge wa kawaida kutoka UPM? Click to expand... Hatakuwa wa kwanza wala wa mwisho!
livafan JF-Expert Member Joined Oct 20, 2016 Posts 2,995 Reaction score 5,671 Jun 19, 2025 #22 Kumbe kutumia Malori kwa ajiri ya usafirishaji wa binadamu ni ruksa ! Baada ya ziara za huyu jamaa kuisha na mie niingize ka town hiace kangu road nibebee raia kutafuta mia mia.
Kumbe kutumia Malori kwa ajiri ya usafirishaji wa binadamu ni ruksa ! Baada ya ziara za huyu jamaa kuisha na mie niingize ka town hiace kangu road nibebee raia kutafuta mia mia.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Jun 19, 2025 #23 Majaliwa kumsifia sa100 (boss wake) sio habari, ni sawa na mme kumkaza mkewe wa ndoa!