Wanyonge na marais pia!Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Kuhusu mafao ukishafika umri wa miaka 60 tutakupa 25% ya hayo then 75% tutakupa kidogo kidogo hadi ufe...hatutaki usumbue ndugu, mķeo na watoto wako kukuuguza na kukuzika..tunataka uwe na kipato chako kidogo kidogo mwenyewe.Nawahurumia wanao dai Mafao NSSF
China tutakwisha na vovidWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira
Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea
Kazi inaendelea...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira
Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea
Watz ndiyo wanawachagua nyinyi bakini huku kwenye mitandao ya kijamii mnaandika udaku tu!! Kazi Inaendelea!!CCM ni kichwa cha mwendawazimu kinachotembea!Hivi inawezekana vipi watu kama hawa wanaingia madarakani?
Dreamliner zipo 2 ndugu wala sio moja...na zinakusanya tu vumbi pale airport..mara moja au mbili kwa wiki zinaenda hapo india walau engine zipashwe pashwe...ila india kupeleka dreamliner ni ghali..route hiyo hata airbus zingeweza ila wanaishia kupeleka dreamliner ili zisije zikageuka mazalia ya popoKwenye reli SGR naweza kuwaelewa maana itachochea ukuaji wa uchumi maana itagusa watu wengi saana though ni kosa kuijenga kwa kitumia fedha za ndani 12 Trilion. Kwa nini ukiumize kizazi hiki kwa kukibana wakati project itaishi zaidi ya miaka 100?
Huku kwenye ndege so afar ishafeli...tangu hiyo Dreamliner itue kwa mfano niambieni ishasafiri km ngapi angani hadi leo hii?
Mawazo yanaweza kuwa mazuri ila approach ndiyo bomu.