Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Kama mlivyosikia.

Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amesema hayo leo huko Bungeni Dodoma.

'Ndege tutaendelea kununua na tayari ndege tatu tunatarajia zitawadia mwaka 2021/2022' amesema majaliwa.
Na tutanunua kesh! hakuna upumbavu wa sheria ya manunuzi wala mavi hapa kazi iendelee tujipigie mpunga!!
 
Hicho kiasi kikubwa kimelipwa lini? Kimelipwa kwa cash au ni mkopo? Kama ni mkopo ni mkopo wa kiasi gani kutoka wapi? Na mkataba wa mkopo huo ulisainiwa lini, wapi na nani? Orders hata za ndege zinakuwa cancel bila matatizo yoyote.

Kwenye hiyo habari yako shirika lina backlogs ya ndege zaidi ya 4000 on orders sidhani kama hizo cancellation ni ndege ambazo zimeashingia kwenye production line.

Common sense ndege ambazo zinakuja mwaka huu zipo kwenye final stages kumalizika you can cancel an order at anytime but kuna gharama zake if you are willing to incur and some are more expensive than others depending on the amount of work done in the contract.
 
Faida ya ndege huwezi kuiona moja kwa moja kama unavyofikiria mkuu. Faida ya ndege ni indirect inaimarisha image ya nchi na kuitangaza nchi nje then kwa kufanya hivyo utaona watalii wanaongezeka ndiyo maana KQ imeitangaza sana Kenya kiasi hata mbuga zetu na Mlima Kilimanjaro ikawainatambulika kuwa vipo Kenya. Inahitaji kuwa na ubongo uliotulia kuelewa faida ya ndege kwa Tanzania. Hebu wasikilize wenzako hawa hapa chini.

View attachment 1750857
kabla ya ujio wa korona avarage ya mapato kwa mwaka kwenye utalii ilikuwa biliioni ngapi?zinakusanywa.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.
Hii kitaalamu inaitwa "Sikio la kufa, halisikii dawa".

Tumetangaziwa hasara kubwa kwenye biashara ya usafiri wa ndege, na bado tunaongeza kununua ndege!
 
Ushamba nao ni mzigo, yaani kujaza ma vitu bado tunaona ni aina ya ufahari hata kama hayana tija

Ni zile akili zetu wasukuma kuwa na mifugo mingi lkn maisha yetu tunayajua wenyewe, kulala kwenye ngozi, mwendo wa ugali wa mtama (ukula) na asubuhi viazi (mandoro/ Manumbu) bila kuwa na mpangilio wa mlo kamili pamoja na utajiri wote tulio nao

Naona hapa ni quantity Vs Quality

Mmeambiwa yanakula hasara hayo subirini mdogo mdogo mpaka yaanze kutengeneza faida pia mkizingatia hiyo biashara kwa sasa ina changamoto za kidunia kutokana na COVID-19 na kuna watu wamebashiri itachukua muda mrefu kwa airlines industry kurudi vizuri labda hata miaka mitatu ijayo

Hivi haiwezekani ku cancel hizo order na pesa ikatumika kwenye madawa na maji plus miundo mbinu na ndege zilizopo zibembelezwe mpaka zikae sawa na pia hata biashara ya utalii inaweza chukua muda kurudi na yote sababu ni COVID-19 kwa hiyo hata usafiri wa anga kuchagiza sekta ya utalii nalo litachukua muda kutokana na mazingira ya kidunia kwa sasa
Ku cancel order utalipa fidia kubwa ni bora hata uchukue hizo ndege.....
jambo la pili hakuna biashara isiyo na changamoto kwenye biashara hasara ni part of the gem......
au ww kula kulala hujui kitu!!!?
 
Huna upeo wa kuwaza

Wabunge wakistaafu wanapewa zote...

Je Wakulima na wafugaji ..Wana Mafao..? Hawa ndio 85% ...je Serikali inatunza wazee

Serikali inadaiwa Pesa nyingi mno na hii mifuko, mfano PSSSF wanadai Serikali 12 trillion

Kwa hiyo Serikali inakopa Pesa za mafao

Na Wafanyakazi Ni watu wenye uelewe kuliko Wakulima vijijini

Watu wakilipwa mafao yao, watafungua biashara na kupanua wigo wa Kodi kwa Serikali.

Fungua akili, acha kukariri mawazo ya Jenista Mhagama
kaka mimi naiwakilisha Serikali yako ya CCM inavyokuhukumu kuhusu mafao!! mimi ni mjumbe tu hauawi - nilichokisema ndicho Serikali yako ina ki-implement, Ni muda sasa wa kusimama na kusema Serikali ya CCM uonevu huu sasa basi.
 

its a good idea to pay cancellation cost instead of buying more loss making planes. For the last 5 years losses were in billions. Kama si dikteta na dhalimu kugomea ATCL isikaguliwe labda tungeweza kuepuka continuously losses for the last five years. Serikali hii imejaa waongo waweke hadharani namna ndege hizo zilivyolipiwa kama ni mkopo au kwa cash na ni nani aliyesaini mkataba huo lini na wapi.
Kenya hiyo habari yako shirika lina backlogs ya ndege zaidi ya 4000 on orders sidhani kama hizo cancellation ni ndege ambazo zimeashingia kwenye production line.


Common sense ndege ambazo zinakuja mwaka huu zipo kwenye final stages kumalizika you can cancel an order at anytime but kuna gharama zake if you are willing to incur and some are more expenses than others depending on the amount of work done in the contract.
 
Shida yetu watanzania kwa vile imesemwa kwamba tumekula hasara tunashikilia tuache na haifai.. kwelii?? Hapo kinachotakiwa ni kuendelea na kutafuta njia za kupata faida. Hivyo, serikali iko sahihi, hata hao wafanyabiashara wakuubwa mnaowaona huwa wanapata hasara pia.
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuru ya muungano wa Tanzania
Kazi iendelee
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.
Naipongeza serikali yangu
 
Naomba kuuliza kwa niaba ya CAG. Hizo Ndege wananunua kwa ela Cash au mkopo?
 
Ku cancel order utalipa fidia kubwa ni bora hata uchukue hizo ndege.....
jambo la pili hakuna biashara isiyo na changamoto kwenye biashara hasara ni part of the gem......
au ww kula kulala hujui kitu!!!?

Soma vizuri nimesema je kuna uwezekano wa ku cancel?? Ni swali kwa wataalam lkn hata kama hakuna uwezekano ndo soma maelezo yangu toka juu/mwanzo hakuna mtu anakataa kuanzisha kitu na mwanzo wowote kuna changamoto zake kweli lkn inatakiwa kitu kikue taratibu na kinavyozidi kushamiri na kupata faida ndo unaagalia mahitaji ya soko na wateja wako wanataka nini na wapi kuna mapungufu ili uboreshe

Sasa kununua hizo ndege nyingi kwa wakati unao karibiana na hizi nyingine bado zina struggle hata kupata routes tu na hasa za kwenda nje maana kwa ndani uwezo wetu hasa kipindi hiki watanzania umeshuka kutokana na kuwa na mzunguko wa pesa mdogo na shughuli nyingi za kiuchumi kubanwa mfano ( migodi kanda ya ziwa na gas ukanda wa pwani) ambazo zilifanya watu wakimbie kutoka huku na kule kwa kutafuta fursa

Hayo ya kula kulala ni yako mkuu maana hata sitaki ku react kwa hilo ni kuniweka kwenye mtego wa kitoto
 
Dodoma, Serikali ya Tanzania imesema imekamilisha malipo ya ndege tatu, mbili zikiwa ni Airbus A220-300 na moja ni Dash 8 q400 de Havilland.

Hayo yamesemwa leo na waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwasilisha mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio na matumizi ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu mwaka 2021/2022.

Waziri mkuu huku akishangiliwa na wabunge wa upinzani na Chama tawala amesema ndege hizo zitawasili wakati wowote mwaka 2021 au 2022

Amelipongeza shirika la ndege la Atcl kwa hatua nzuri za kuanzisha safari za kwenda nje hasa nchini China katika mji wa Guanzhou hivyo ni njia mojawako ya kukuza biashara, utarii na ajira.
 
Semeni serikali imekamilisha malipo ya hasara nyingine mpya
Nisawa kabisa,na labda umejibu vizuri bila kujijua, wakatiwote biashara inaanza na hasara then faida inafuata.

Yani unatupa pesa kununua bidhaa then unapambana na soko badae unaanza kuona faida.
Kama huna akili ya biashara pesa ya kwanza unayotoa kununua bidhaa utaiita hasara other side wenye akili wanaita mtaji.

Akili zikizidi kuwa mgando zikagotea hapo utaogopa hata kuuza mandazi.
 
its a good idea to pay cancellation cost instead of buying more loss making planes. For the last 5 years losses were in billions. Kama si dikteta na dhalimu kugomea ATCL isikaguliwe labda tungeweza kuepuka continuously losses for the last five years. Serikali hii imejaa waongo waweke hadharani namna ndege hizo zilivyolipiwa kama ni mkopo au kwa cash na ni nani aliyesaini mkataba huo lini na wapi.
Actually Magufuli alipata ushauri mmbaya given the recent CAG revelation kwamba ATCL do actually pay their rent on the plane.

Magufuli alitakiwa awaache wakaguliwe kwa sababu yeye keshafanya yake ya kuleta ndege; failure ni tatizo la management.

Lawama za watanzania zilijikita kwenye bad investment, but then hata huko alishajilinda ndege ATCL inazitumia on long term lease so serikali inalipwa na bado assets ni zao.

Huo mpira ungekuwa wa watanzania sasa ATCL aiwezi kuzilipia ndege inapata hasara, bunge liamue ziuzwe/ akodishiwe mteja mwingine au ATCL ipewe nafasi zaidi. Most likely such vote bear nationalism sentiments ATCL wabunge wangetaka ATCL ipewe muda. Baada ya kura hiyo matatizo ya ATCL asingekuwa anabebeshwa mtu mmoja bali bunge zima.

Mwisho wa siku lazima tukubali ukweli only thing Magufuli tried was trying to give the airline a chance, kufail kwenyewe asilimia kubwa ni mipango mibovu ya management.
 
Back
Top Bottom