muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,627
- 4,445
Ndege no muhimu na lazima zinunuliwe. Air Tanzania ina madudu mengi. Waisafishe. Waweke wataalamu na waache siasa. Faida za hizi Ndege hata wananchi wataziona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan inajengwa bila mkopo? Kaangalie upya huo mradiKwenye reli SGR naweza kuwaelewa maana itachochea ukuaji wa uchumi maana itagusa watu wengi saana though ni kosa kuijenga kwa kitumia fedha za ndani 12 Trilion. Kwa nini ukiumize kizazi hiki kwa kukibana wakati project itaishi zaidi ya miaka 100?
Huku kwenye ndege so afar ishafeli...tangu hiyo Dreamliner itue kwa mfano niambieni ishasafiri km ngapi angani hadi leo hii?
Mawazo yanaweza kuwa mazuri ila approach ndiyo bomu.
Kwanini unamweka Mungu hapo? Si ungetoa tu maoni yako au usubiri tu hiyo2025 upige kura yako na kuisindikiza na hayo matumaini yako?Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
Hivi utaingiaje uchumi wa kati bila kuwa na national airline! Uchumi wa kisasa unahitaji pamoja na mambo mengine ndege za abiria na mizigo. Marehemu aliona mbali sana.Only in Tanzania kuna this level of incompetence. Pamoja na madudu yote, bado wang'ang'ana na ndege.
Ingekuwa kodi mnalipa wenyewe ambao mnataka hizo ndege zinazoleta hasara basi asingelalmika mtu. Shida ni hela zetu sote alafu tunaona zatumika kwenye mahali si pa vipaumbele kwa mtanzajia wa leo.Tulieni dawa ziwaingie akilizenu zimeishia kwenye kuona hasara tu na kuuza ndege,acha wenye akili za kukubali changamoto waendelee na faida itaonekana badae.
Kama mlizani mtapata ten pasee, kwenye mauzo ya ndege alafu mpigetena dili kwenyekukodi ndege hizohizo kwenye shirika mtakalo uza, mmelimia meno.
Mana hamshindwi kuziuza leo alafu wikiijayo mnaenda tena kukodi ndege hizohizo,wanyonyaji wakubwa nyinyi.
Sijui kwanini hamuipendi nchiyenu.
hapa ndipo tatizo lilipo !!Kwan inajengwa bila mkopo? Kaangalie upya huo mradi
Sasa unauhakikagani kama Jpm alikataa, ama ndio marehemu hana haki?.Actually Magufuli alipata ushauri mmbaya given the CAG revelation kwamba ATCL do actually pay their rent on the plane.
Magufuli alitakiwa awaache wakaguliwe kwa sababu yeye keshafanya yake ya kuleta ndege; failure ni tatizo la management.
Lawama za watanzania zilijikita kwenye bad investment, but then hata huko alishajilinda ndege ATCL inazitumia on long term lease so serikali inalipwa na bado assets ni zao.
Huo mpira ungekuwa wa watanzania sasa ATCL aiwezi kuzilipia ndege, bunge liamue ziuzwe/ akodishiwe mteja mwingine au ATCL ipewe nafasi. Most likely such vote bear nationalism sentiments ATCL ipewe muda. Baada ya kura hiyo matatizo ya ATCL asingekuwa anabebeshwa mtu mmoja bali bunge zima.
Mwisho wa siku lazima tukubali ukweli only thing Magufuli tried was trying to give the airline a chance, kufail kwenyewe asilimia kubwa ni mipango mibovu ya management.
Nyerere mwenyewe alianzisha shirika la ndege la ATC hakuwa mjinga.Ushamba nao ni mzigo, yaani kujaza ma vitu bado tunaona ni aina ya ufahari hata kama hayana tija
Ni zile akili zetu wasukuma kuwa na mifugo mingi lkn maisha yetu tunayajua wenyewe, kulala kwenye ngozi, mwendo wa ugali wa mtama (ukula) na asubuhi viazi (mandoro/ Manumbu) bila kuwa na mpangilio wa mlo kamili pamoja na utajiri wote tulio nao
Naona hapa ni quantity Vs Quality
Mmeambiwa yanakula hasara hayo subirini mdogo mdogo mpaka yaanze kutengeneza faida pia mkizingatia hiyo biashara kwa sasa ina changamoto za kidunia kutokana na COVID-19 na kuna watu wamebashiri itachukua muda mrefu kwa airlines industry kurudi vizuri labda hata miaka mitatu ijayo
Hivi haiwezekani ku cancel hizo order na pesa ikatumika kwenye madawa na maji plus miundo mbinu na ndege zilizopo zibembelezwe mpaka zikae sawa na pia hata biashara ya utalii inaweza chukua muda kurudi na yote sababu ni COVID-19 kwa hiyo hata usafiri wa anga kuchagiza sekta ya utalii nalo litachukua muda kutokana na mazingira ya kidunia kwa sasa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]CAG ameshakupa investment costs za ndege, model of ATCL financing kati yake na serikali. Kama upo interested na business viability ya ungetaka kuona financial statements ya shirika na supplementary informations za kwenye notes how exactly does their expenses breakdown na kama zinaweza punguzwa. Their business strategy etc kuona shirika linaenda mbele vipi.
Lakini wewe unaomba mambo ambayo hayana ulazima kwa hali ya shirika lilipo leo. So issue yako sio hasara au faida kwa sana za ATCL, bali unataka kuleta mambo ya politics.
Kuna biashara gani yenye faida siku zote hapa duniani. NitajieShida yetu watanzania kwa vile imesemwa kwamba tumekula hasara tunashikilia tuache na haifai.. kwelii?? Hapo kinachotakiwa ni kuendelea na kutafuta njia za kupata faida. Hivyo, serikali iko sahihi, hata hao wafanyabiashara wakuubwa mnaowaona huwa wanapata hasara pia.
Kwahiyo mtavunja katiba yenu ili Majaliwa awe rais?Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
Sidhani kama uko sahihi kwa hitimisho hili, biashara ya ndege inahitaji uwekezaji mkubwa na faida huwezi kuiona katika muda mfupi, aidha ununuzi wa ndege unategemea unataka kuhudumia 'Route' gani. Kwa sasa ATCL ina 'Route' ya Kati ya India na baadaye ndefu ya China ambayo ilikuwa ianze 20/03/2021 ikasitishwa.Dreamliner zipo 2 ndugu wala sio moja...na zinakusanya tu vumbi pale airport..mara moja au mbili kwa wiki zinaenda hapo india walau engine zipashwe pashwe...ila india kupeleka dreamliner ni ghali..route hiyo hata airbus zingeweza ila wanaishia kupeleka dreamliner ili zisije zikageuka mazalia ya popo
Asilimia ya ndege kutangaza nchi ni ndogo sana, kuna njia nyingi za kujitangaza! Kenya wapo vizuri zaidi kwenye matangazo, Kiswahili na uswahili unakwamisha mambo mengi pia! Hii video ina Mtu mwenye pengo anacheka, labda anawacheka Zito na wapinzani wenzake, lakini angekua na meno yote nafikiri ingefaa awacheke na walio kurupuka kununua ndege kutokana na ushauri wa watu mnao wadharau!Faida ya ndege huwezi kuiona moja kwa moja kama unavyofikiria mkuu. Faida ya ndege ni indirect inaimarisha image ya nchi na kuitangaza nchi nje then kwa kufanya hivyo utaona watalii wanaongezeka ndiyo maana KQ imeitangaza sana Kenya kiasi hata mbuga zetu na Mlima Kilimanjaro ikawainatambulika kuwa vipo Kenya. Inahitaji kuwa na ubongo uliotulia kuelewa faida ya ndege kwa Tanzania. Hebu wasikilize wenzako hawa hapa chini.
View attachment 1750857
CAG ameshakupa investment costs za ndege, model of ATCL financing kati yake na serikali. Kama upo interested na business viability ya ungetaka kuona financial statements ya shirika na supplementary informations za kwenye notes how exactly does their expenses breakdown na kama zinaweza punguzwa. Their business strategy etc kuona shirika linaenda mbele vipi.
Lakini wewe unaomba mambo ambayo hayana ulazima kwa hali ya shirika lilipo leo. So issue yako sio hasara au faida kwa sana za ATCL, bali unataka kuleta mambo ya politics.
Labda kupitia chama cha DP, ccm ilishakufa na 2025 inakwenda kuzikwa rasmi na mindege yake,japo hiyo tenda ilishakamilika hata kabla meko hajalala wacha zije tu tuongeze parkingAsante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
Mkuu una uhakika na hizo 12trillions?Huna upeo wa kuwaza
Wabunge wakistaafu wanapewa zote...
Je Wakulima na wafugaji ..Wana Mafao..? Hawa ndio 85% ...je Serikali inatunza wazee
Serikali inadaiwa Pesa nyingi mno na hii mifuko, mfano PSSSF wanadai Serikali 12 trillion
Kwa hiyo Serikali inakopa Pesa za mafao
Na Wafanyakazi Ni watu wenye uelewe kuliko Wakulima vijijini
Watu wakilipwa mafao yao, watafungua biashara na kupanua wigo wa Kodi kwa Serikali.
Fungua akili, acha kukariri mawazo ya Jenista Mhagama
Basi CAG ni muongo na hana uelewa kuliko wewe, napendekeza wew ndiye uwe CAG.Faida ya ndege huwezi kuiona moja kwa moja kama unavyofikiria mkuu. Faida ya ndege ni indirect inaimarisha image ya nchi na kuitangaza nchi nje then kwa kufanya hivyo utaona watalii wanaongezeka ndiyo maana KQ imeitangaza sana Kenya kiasi hata mbuga zetu na Mlima Kilimanjaro ikawainatambulika kuwa vipo Kenya. Inahitaji kuwa na ubongo uliotulia kuelewa faida ya ndege kwa Tanzania. Hebu wasikilize wenzako hawa hapa chini.
View attachment 1750857