Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Narudia tena majaliwa akikuambia kitu subiri kwanza, mnaeza msubiri ndege na isionekane hadi mkome.
 
Sidhani kama uko sahihi kwa hitimisho hili, biashara ya ndege inahitaji uwekezaji mkubwa na faida huwezi kuiona katika muda mfupi, aidha ununuzi wa ndege unategemea unataka kuhudumia 'Route' gani. Kwa sasa ATCL ina 'Route' ya Kati ya India na baadaye ndefu ya China ambayo ilikuwa ianze 20/03/2021 ikasitishwa.

ATCL imewahi kupeleka Airbus kwenye 'Route' ya Mumbai mara kadhaa lakini kuna wasafiri walilalamikia kitendo hiki wakati fulani kwani mteja ni mfaume, na kumbuka unapoomba 'Route' ni lazima utumie ndege inayofanana na mahitaji ya 'Route' hiyo.

Pamoja na yote yanayoendelea ATCL kwa sasa inaenda vizuri katika kipindi hiki cha uwekezaji na nathubutu kusema kuwa wataimudu hii biashara wakiendelea kuwa makini.
Haya maneno yangekua matamu zaidi kama yangeitangulia report ya CAG! Kazi kubwa ya serikali ni usalama wa watu mali zao, biashara serikali haiwezi! Ukifanya biashara Wewe serikali kwenye ushindani itabidi uuwe kina fast jet ili utawale soko! Shirika la ndege lingeweza kupata wawekezaji, serikali ikapata chake, maisha yanaenda!
 
Na upanuzi wa International Airport ya Chato nao uendelee kwa kuongeza terminal mbili mpya na Runaway moja.
Nyuzi nyingine unawaacha wenye akili zao na uelewa wa mambo wachangie,utajifunza kitu,ukada unafanya unaonyesha " utupu" ulionao.usipoitaja chato huwa bomba la majitaka linakuwasha?
 
Hao jamaa fedha sio zao na hawana uchungu nazo
Mbona mnatapatapa kama kuku anayetafuta pakutagaa?? Tulieni tuwajengee vyanzo vya mapatoo. Lazima ndoto za nyerere+ JPM ziendelezwee, najua mabeberu wako wanahangaika saaanaa. Kazi zote zinaendelea kama zilivyopangwaaaaaaaaaaaaa
 
Nyuzi nyingine unawaacha wenye akili zao na uelewa wa mambo wachangie,utajifunza kitu,ukada unafanya unaonyesha " utupu" ulionao.usipoitaja chato huwa bomba la majitaka linakuwasha?
Si katika kuunga mkono juhudi za Shujaa Uchwara au?
 
Mbona mnatapatapa kama kuku anayetafuta pakutagaa?? Tulieni tuwajengee vyanzo vya mapatoo. Lazima ndoto za nyerere+ JPM ziendelezwee, najua mabeberu wako wanahangaika saaanaa. Kazi zote zinaendelea kama zilivyopangwaaaaaaaaaaaaa
Unawazungumzia Taga Gang FC, I mean kwenye hiyo kutafuta pa kutagia! Kumbukeni nchi hii tuna Mwendazake na mh. SSH. Midege ikiuzwa usituletee michozi humu!
 
Sasa Midege yote ya nini? Hii 9 iliyopo inatutia hasara mnaenda kuongeza mingine? Non sense.
 
Tulieni dawa ziwaingie akilizenu zimeishia kwenye kuona hasara tu na kuuza ndege,acha wenye akili za kukubali changamoto waendelee na faida itaonekana badae.

Kama mlizani mtapata ten pasee, kwenye mauzo ya ndege alafu mpigetena dili kwenyekukodi ndege hizohizo kwenye shirika mtakalo uza, mmelimia meno.

Mana hamshindwi kuziuza leo alafu wikiijayo mnaenda tena kukodi ndege hizohizo,wanyonyaji wakubwa nyinyi.

Sijui kwanini hamuipendi nchiyenu.
Kama nakuona jinsi jasho linavyokutoka, basi unaona umeandika pointiii kumbe ujinga mtupu kuliko hata ujinga wa bashite
 
Kuhusu mafao ukishafika 60 yrs tutakupa 25% ya hayo then 75% tutakupa kidogo kidogo hadi ufe...hatutaki usumbue ndugu, mķeo na watoto wako kukuuguza na kukuzika..uwe na kipato chako.
Tunajua tukiwapa mnakula zote bila kujali mbeleni inakuwaje..mnazipa familia mzigo.
Mkuu Fuso huo ni ukatili hata shetani haoni ndani
 
..kuna anayeweza kutuhakikishia kwamba tukiongeza ndege nyingine 3 ATCL itaanza kupata FAIDA?

..pia kusema kwamba ndege ni mali ya SERIKALI, na inachofanya ni kuzikodisha kwa ATCL nadhani ni ubabaishaji.

..serikali haiwezi kukwepa hasara hii kwasababu inamiliki ATCL kwa asilimia 100.
 
Water-Stressed-Countries.jpg
water-shortage-by-women.jpg
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.

Hii ni Serikali ya wendawazimu aiseh!
CAG keshaweka wazi kuwa ATCL mpaka sasa wameshapata HASARA YA BILIONI 60 FEDHA ZA KITANZANIA......!!!Leo Majaliwa anadai bado wanaongeza ndege zingine 3 ili ATCL iendelee kutengeneza HASARA....This is really absurd!!!
 
Back
Top Bottom