Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Kwenye ruzuku mimi sipo, lakini hapo kwenye gawio na kodi, nipo! Serikali haiwezi kufanya biashara, kwa sababu biashara ni ushindani, wewe Manji shindana na Bahkresa, huwezi kushinda na Majaliwa! Unanipata ndugu yangu!?Hayo mashirika yote na makampuni unayoyalalamikia hayapaswi kuendeshwa na Serikali ndio, na ndio maana yanatakiwa kutoa gawio baada ya kuendeshwa kwa faida... Na huo ndio mwelekeo wa kibiashara. Naona bado unahusisha haya mashirika na upataji wa ruzuku.