Faida ya ndege huwezi kuiona moja kwa moja kama unavyofikiria mkuu. Faida ya ndege ni indirect inaimarisha image ya nchi na kuitangaza nchi nje then kwa kufanya hivyo utaona watalii wanaongezeka ndiyo maana KQ imeitangaza sana Kenya kiasi hata mbuga zetu na Mlima Kilimanjaro ikawainatambulika kuwa vipo Kenya. Inahitaji kuwa na ubongo uliotulia kuelewa faida ya ndege kwa Tanzania. Hebu wasikilize wenzako hawa hapa chini.Asilimia kubwa ya watanzania hasa wapiga kura huona njee na si ndani... Ni ngumu kumuelewesha mtanzania ambae si mfatiliaji kuwa eti ndege zinaleta Hasara akakuelewa . Na hii ndo ilipelekea Mzee mwendazake kueleweka au kusifika kwa ununuzi wa ndege kwa hao wanaoitwa wanyonge maana Impact yake hawaijui na hata ukajaribu muelezea anakuona mpingajii tuu . Si kwamba nae mzee hajui ni hasara ila navyojua tamaduni za watu wa huko hupenda kuona mavitu makubwa makubwa ili apate sifa hata kama mnakufa njaa hapo ndani