Nikishakufa kilichobakia mnapeleka wapi?Kuhusu mafao ukishafika umri wa miaka 60 tutakupa 25% ya hayo then 75% tutakupa kidogo kidogo hadi ufe...hatutaki usumbue ndugu, mķeo na watoto wako kukuuguza na kukuzika..tunataka uwe na kipato chako kidogo kidogo mwenyewe.
Tunajua tukiwapa mnakula hela zote bila kujali mbeleni mtaishije ..mnazipa familia zenu mzigo wasiostahili.
Mkuu Huyo Kajaa Na Uchadema KichwaniCanadian aircraft maker De Havilland wins $43 million claim against SpiceJet
De Havilland had sought termination of purchase agreement and payment of damages worth $42.9 million on part of SpiceJet. Court ruled in favour of aircraft maker, saying SpiceJet failed to abide by pactm.businesstoday.in
Ata ingekuwa malipo yote bado hayajakamilika there are penalties for stepping out of a contract.
Soma hapo juu hilo shirika lilipigwa fine ya karibu $43 million just for stepping out of an agreement kabla hata ndege azijatengenezwa. Iwe hatua za ndege kukamilika.
Huyu alipofikia panamtosha. Pamezidi hata uwezo wake. Unachokifikiria hakitakuja kutokea, yakumbuka maneno yangu haya.Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
Hata alienda mama wangeyamaliza kwa nini tuendelee kuumizana kwa miradi ya kipuuzi?HILI SUALA LA CANCELLATION YA ORDER COULD HAVE BEEN SOLVED DIPOLATICALLY KWA KUMTUMIA MAMA MWANADIPLOMASIA BALOZI MULAMULA; LAKINI KWASABAU CHAMLIHO AMEKULA 10% YAKE NDIO ATAWASHAWISHI KUWA HAIWEZEKANI!!! HILO LINGEWEZA KUZUNGUMZIKA NA BOEING WANGEWEZA KUWAIVE HIZO PENALTIES.
Tunahitaji huduma zenye tija sio hizo za kishenziWAMEBADILISHA LINI SHERIA ILIYOUNDA ATCL NA KULIFANYA SHIRIKA LA KUTOA HUDUMA?
Watakwambia zinaitangaza nchi,pumbavu si bora kujenga academy za michezo au kuwapa akina diamond pesa wakaitangaze nchi kuliko huo ushenziWatz mil 60 waliowahi panda au nufaika na hizo ndege ni wangap??
Acha uongo wewe kenge, hospital zote mpya walizojenga hazijaanza Kazi,vituo vya afya ndio kabisaa na kama umesikia Ummy anasema kipaombele kwa sasa.ni kununua vifaa tiba,kumalizia majengo na kuajiri watumishi Ili zianze kufanya Kazi.Hiyo siyo kweli kwani hospitali zetu zimeboreshwa sana na nyingi xins vifaa vya kisasa sana kwa vile hakuna hospitali za vijijini ambavyo havuine umeme leo. Majuzi kuna ndugu yangu amefanyiwa upasuaji huko huko kijijini na amepona. Miiezi michache iliyopita viongozi wetu walifariki wakiwa wanatibiwa hkwenye hospitali zetu tofauti na zamani walikuwa wanafariki wakiwa wanatibiwa hospitali za nje!
Habari nzima ya kuongeza kununua ndege wakati zilizopo zinaleta hasara na hatuna business plan inayoeleweka kubadili biashara ni sawa na kusema hatuna jinsi hili kaburi tushaanza kujichimbia, tumefikia nusu, ni bora tumalize tu kuchimba lote tuzikwe.Hatuna namna kwasasa maana ndiyo brand au equipment zilizopo kwenye fleet ya ATCL. Kwasasa tuendeleze hizohizo ila tusitafute zingine tofauti tena.
So far tuna marubani na huenda tumetrain wahandisi wa aina hizo za Ndege.
Mm nimeona at least hizo equipment ziko tailored kwa mazingira yetu kidogo, kuliko zingeongezwa Dreamliner tena zine kubanikwa juani..
Sasa matusi ya nini mzee wangu, unapata faida gani kwa kuandika matusi hapa? Je ungejibu tu kuwa bado zote hazijapata vifaa ungeonekana mjinga? Mimi nina uhakika kuwa hospital ya kijijini kwetu ina vifaa na madaktari mpaka inafanya upasuaji siku hizi! Kama siyo zote ziko katika hali hiyo tufahamishane tu kuliko kutukanana hapa. Halafu tunaposema hospitali mpya haina maana ya kuwa hakukuwa na kitu, ya kwetu ilikuwa ni zahanati ambayo ndiyo imejengwa upya, ina maana tayari kulikuwa na structure fulani.Acha uongo wewe kenge, hospital zote mpya walizojenga hazijaanza Kazi,vituo vya afya ndio kabisaa na kama umesikia Ummy anasema kipaombele kwa sasa.ni kununua vifaa tiba,kumalizia majengo na kuajiri watumishi Ili zianze kufanya Kazi.
Nina uhakika na ninachoongea,hizo unazosema wewe ni vituo vya afya au hospital zilizokuwepo ila zimeboreshwa kiasi lakini zile mpya hakuna inayofanya kazi
Hio Bajeti ya 2019/2020 inaombwa 2021?Habarini ndug,
Katika makadirio ya bajeti ya mwaka 2019/2020,serikali imeliomba bunge liidhinishe shilingi bilioni 500 kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya.
Naomba nipewe mrejesho, km kweli bunge limeidhinisha hiyo pesa. Maana huo, utakua ni ubadhirifu wa fedha za umma
Mkuu nadhani pm alisoma hotuba ambayo iliandikwa zaidi ya mwezi kabla ya kifo cha jemedari maana huwa inaanza kuandikwa mapema sana.Kiburi cha PM katika maelezo yake kimenishangaza sana !
😆😆😆Mkuu nadhani pm alisoma hotuba ambayo iliandikwa zaidi ya mwezi kabla ya kifo cha jemedari maana huwa inaanza kuandikwa mapema sana.
Ni wrong pickup tu hiyoHio Bajeti ya 2019/2020 inaombwa 2021?
[emoji847][emoji847]