Waziri Mkuu Majaliwa - Tekelezeni kwa vitendo falsafa ya 4r za Rais Samia

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

06 September 2024​

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024​

View: https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R NNE (4R) ya Rais Dk. Samia S. Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

1725667962376.png

Amesema hayo leo Septemba 06, 2024 wakati alipofungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.

Amesema kuwa ni muhimu kuifahamu vyema falsafa hiyo ya Rais Dkt. Samia Hassan na kuitekeleza kwa vitendo. “Nina imani kubwa kwamba uongozi wa juu wa Wizara umeielewa vizuri falsafa hiyo, na semina hii elekezi ni ushahidi tosha wa kuitekeleza kwa vitendo”.

“Falsafa hii inajikita katika masuala ya Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding).

Hivyo, nitoe wito kwa washiriki ambao ni Maafisa Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuendelea kushiriki na kuishi kikamilifu falsafa hii,”amesema.
1725667661707.png

Ameongeza kuwa semina elekezi hiyo ni sehemu muhimu kwa maendeleo ya kitaaluma na kitaasisi kwa maafisa waandamizi wa vyombo vya usalama, na husaidia katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa kufuata viwango vya kitaaluma na kisheria.

“Semina elekezi hutoa fursa kwa maafisa waandamizi kujifunza mbinu na taratibu mpya katika utendaji wa majukumu yao. Hii inajumuisha teknolojia mpya, mbinu bora za ulinzi na usalama, na mbinu za kisasa za kupambana na uhalifu,”.

Kwa Upande wake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, engineer Hamad Masauni amemshukuru Rais Dk. Samia Hassan juu ya nia yake ya dhati kwa kufanya maboresho ya Wizara hiyo na vyombo vyake ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto pamoja na Taasisi ya NIDA.
1000628878-1024x535.jpg

“Maboresho haya yanahusisha upandishaji vyeo wa kihistoria wa Maafisa, Wakaguzi na Askari wapatao 50,971 pia kuongeza Bajeti ya Miradi ya Maendeleo kutoka mwaka 2021/22 hadi 2024/25 ni Shilingi 262.2 ambayo ni sawa na asilimia 954.59 ya ongezeko la Bajeti ya Miradi ya Maendeleo,”amesema.

Amesema kuwa Ongezeko hilo la bajeti limesaidia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa vitendea kazi ikiwemo magari, mitambo, boti, vifaa vya TEHAMA na kadhalika

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu
 
06 September 2024​

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024​

View: https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R NNE (4R) ya Rais Dk. Samia S. Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

View attachment 3089167
Amesema hayo leo Septemba 06, 2024 wakati alipofungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.

Amesema kuwa ni muhimu kuifahamu vyema falsafa hiyo ya Rais Dkt. Samia Hassan na kuitekeleza kwa vitendo. “Nina imani kubwa kwamba uongozi wa juu wa Wizara umeielewa vizuri falsafa hiyo, na semina hii elekezi ni ushahidi tosha wa kuitekeleza kwa vitendo”.

“Falsafa hii inajikita katika masuala ya Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding).

Hivyo, nitoe wito kwa washiriki ambao ni Maafisa Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuendelea kushiriki na kuishi kikamilifu falsafa hii,”amesema.
View attachment 3089154

4r inawezaje kutekelezwa na upande mmoja bila kushirikisha pande nyingine! Naona kama nae haielewi hiyo 4r.
 
TOKA MKATABA :

10 February 2023

Tume ya Haki Jinai
waanza kuhoji Wakuu wa Polisi na wakuu wa .... ikiwa pamoja na kuangalia utendaji wa taasisi zilizopo ktk mfumo wa haki jinai.... ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=26myjssYvAo

Mwenyekiti jaji Chande anasema kuna upungufu au mmomonyoko wa imani za wananchi kuhusu taasisi zilizopo ktk mfumo wa haki jinai pia jaji Chande awaomba raia kutoa maoni yao kuhusu utendaji wa taasisi hizo .. kwa kutuma maoni yao ktk anuani za mawasiliano za tume hiyo zilizopo twitter, FB, email, WhatsApp na simu.

Pia Toka maktaba :
Taarifa iliyotolewa jana Januari 6, 2023 na Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus imewataja wajumbe hao;
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Wajumbe wengine ni pamoja na:

  • Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dk Eliezer Feleshi,
  • Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Utumishi) Dk Laurean Ndumbaro,
  • Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP mstaafu Said Mwema
  • na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP mstaafu Balozi Ernest Mangu.
  • Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Dk Edward Hosea,
  • Askari Polisi mstaafu, Saada Makungu,
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Omar Issa,
  • Ofisa mwandamizi Ofisi ya Rais Baraka Leonard
  • na Mkurugenzi wa Utafiti katika Chuo Kikuu cha Zanzibar na Rais mstaafu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar, Yahya Khamisi Hamad
RIPOTI YA TUME YATUA KATIKA DAWATI LA MHESHIMIWA RAIS
1725707599097.png

Hotuba ya Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai akiwasilisha taarifa rasmi ya Tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini tarehe 15 July 2023.

Tume imebaini uwepo na mamlaka nyingi za ukamataji kiasi inakuwa ngumu kujua watuhumiwa waliokamatwa wapo wapi, vituo gani, nani kawakamata, ndugu wafahamu walipo jamaa zao walionyakuliwa na watu wanaodai ni wasiojulikana ..... ripoti ya mwenyekiti wa tume Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema akisoma ripoti hiyo kwa rais mbele ya viongozi wa serikali na wakuu wa vyombo vya usalama walioalikwa Ikulu kusikiliza ripoti hiyo...
1725708294337.png
 
06 September 2024​

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024​

View: https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R NNE (4R) ya Rais Dk. Samia S. Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

View attachment 3089167
Amesema hayo leo Septemba 06, 2024 wakati alipofungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.

Amesema kuwa ni muhimu kuifahamu vyema falsafa hiyo ya Rais Dkt. Samia Hassan na kuitekeleza kwa vitendo. “Nina imani kubwa kwamba uongozi wa juu wa Wizara umeielewa vizuri falsafa hiyo, na semina hii elekezi ni ushahidi tosha wa kuitekeleza kwa vitendo”.

“Falsafa hii inajikita katika masuala ya Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding).

Hivyo, nitoe wito kwa washiriki ambao ni Maafisa Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuendelea kushiriki na kuishi kikamilifu falsafa hii,”amesema.
View attachment 3089154
Ameongeza kuwa semina elekezi hiyo ni sehemu muhimu kwa maendeleo ya kitaaluma na kitaasisi kwa maafisa waandamizi wa vyombo vya usalama, na husaidia katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa kufuata viwango vya kitaaluma na kisheria.

“Semina elekezi hutoa fursa kwa maafisa waandamizi kujifunza mbinu na taratibu mpya katika utendaji wa majukumu yao. Hii inajumuisha teknolojia mpya, mbinu bora za ulinzi na usalama, na mbinu za kisasa za kupambana na uhalifu,”.

Kwa Upande wake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, engineer Hamad Masauni amemshukuru Rais Dk. Samia Hassan juu ya nia yake ya dhati kwa kufanya maboresho ya Wizara hiyo na vyombo vyake ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto pamoja na Taasisi ya NIDA.
1000628878-1024x535.jpg

“Maboresho haya yanahusisha upandishaji vyeo wa kihistoria wa Maafisa, Wakaguzi na Askari wapatao 50,971 pia kuongeza Bajeti ya Miradi ya Maendeleo kutoka mwaka 2021/22 hadi 2024/25 ni Shilingi 262.2 ambayo ni sawa na asilimia 954.59 ya ongezeko la Bajeti ya Miradi ya Maendeleo,”amesema.

Amesema kuwa Ongezeko hilo la bajeti limesaidia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa vitendea kazi ikiwemo magari, mitambo, boti, vifaa vya TEHAMA na kadhalika

Nani kwenye CCM /Serikari anayeiishi na kushiriki hii falsafa?
 
Tume imebaini uwepo na mamlaka nyingi za ukamataji kiasi inakuwa ngumu kujua watuhumiwa waliokamatwa wapo wapi, vituo gani, nani kawakamata, ndugu wafahamu walipo jamaa zao walionyakuliwa na watu wanaodai ni wasiojulikana ..... ripoti ya mwenyekiti wa tume Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman

07 September 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=Bz8WOausWWI
 
Halafu hili zoezi la kumkamata mtu porini katika bus linaloelekea Tanga, lazima limeratibiwa na watu wengi ndani ya vyombo vya usalama vya wizara ya mambo ya ndani ya nchi

View: https://m.youtube.com/watch?v=HfZiIvNuhEw

ukosahihi na limeanzia mbali na usikute infoma alikata nae tiketi alikuwa ndani ya basi pia usikute ameshuka njiani au kafika hadi mwisho mwasafari na Leo kageuza anakula posho
 
06 September 2024​

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024​

View: https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R NNE (4R) ya Rais Dk. Samia S. Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

View attachment 3089167
Amesema hayo leo Septemba 06, 2024 wakati alipofungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.

Amesema kuwa ni muhimu kuifahamu vyema falsafa hiyo ya Rais Dkt. Samia Hassan na kuitekeleza kwa vitendo. “Nina imani kubwa kwamba uongozi wa juu wa Wizara umeielewa vizuri falsafa hiyo, na semina hii elekezi ni ushahidi tosha wa kuitekeleza kwa vitendo”.

“Falsafa hii inajikita katika masuala ya Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding).

Hivyo, nitoe wito kwa washiriki ambao ni Maafisa Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuendelea kushiriki na kuishi kikamilifu falsafa hii,”amesema.
View attachment 3089154
Ameongeza kuwa semina elekezi hiyo ni sehemu muhimu kwa maendeleo ya kitaaluma na kitaasisi kwa maafisa waandamizi wa vyombo vya usalama, na husaidia katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa kufuata viwango vya kitaaluma na kisheria.

“Semina elekezi hutoa fursa kwa maafisa waandamizi kujifunza mbinu na taratibu mpya katika utendaji wa majukumu yao. Hii inajumuisha teknolojia mpya, mbinu bora za ulinzi na usalama, na mbinu za kisasa za kupambana na uhalifu,”.

Kwa Upande wake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, engineer Hamad Masauni amemshukuru Rais Dk. Samia Hassan juu ya nia yake ya dhati kwa kufanya maboresho ya Wizara hiyo na vyombo vyake ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto pamoja na Taasisi ya NIDA.
1000628878-1024x535.jpg

“Maboresho haya yanahusisha upandishaji vyeo wa kihistoria wa Maafisa, Wakaguzi na Askari wapatao 50,971 pia kuongeza Bajeti ya Miradi ya Maendeleo kutoka mwaka 2021/22 hadi 2024/25 ni Shilingi 262.2 ambayo ni sawa na asilimia 954.59 ya ongezeko la Bajeti ya Miradi ya Maendeleo,”amesema.

Amesema kuwa Ongezeko hilo la bajeti limesaidia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa vitendea kazi ikiwemo magari, mitambo, boti, vifaa vya TEHAMA na kadhalika

Hivi 4R ni falsafa ya Mwenyekiti wa CCM?Au ni Decree ya Rais au Waraka wa Rais!!
Wataalamu nisaidieni mimi huwa naona ni kama kibwagizo tu lakini hakina mechanism ya jinsi ya kutekelezwa!
 
Ni kibwagizo tu.
 
Halafu hili zoezi la kumkamata mtu porini katika bus linaloelekea Tanga, lazima limeratibiwa na watu wengi ndani ya vyombo vya usalama vya wizara ya mambo ya ndani ya nchi

View: https://m.youtube.com/watch?v=HfZiIvNuhEw

ukosahihi na limeanzia mbali na usikute infoma alikata nae tiketi alikuwa ndani ya basi pia usikute ameshuka njiani au kafika hadi mwisho mwasafari na Leo kageuza anakula posh

Mnyika kuhusu majina kwenye safari hatuambatanishi namba za NIDA

Lakini ,hutumika namba ya simu au pia vyote vinaweza visitumike na tiketi ikapatikana kwajina la uwongo(tashrifu wajiandae kuonyesha udanganyifu kwenye ukatwaji tiketi
 
Dr. Emmanuel Nchimbi asimulia alipokuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, alivyoamua kuibuka mwenyewe katika eneo la tukio baada ya kuona IGP, RPC mkoa wa DSM hawapatikani kwa simu......

MBOWE NA NCHIMBI USO KWA USO "TUNAZOZANA WAKATI MWINGINE" NCHIMBI AFUNGUKA TUKIO ......

View: https://m.youtube.com/watch?v=BFDLia-ZITE

..... Katibu wa mkuu CCM, Emmanuel Nchimbi amesema tukio analolikumbuka ni baada ya Machumu kumpigia usiku na kumueleza amevamiwa na watu wenye silaha, na yeye aliweza kufika katika eneo la tukia kipindi hicho akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani.....
 
Hii hali ya utekaji ithibitiwe isiote mizizi isije kushindikana mbeleni.
 
06 September 2024​

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024​

View: https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R NNE (4R) ya Rais Dk. Samia S. Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

View attachment 3089167
Amesema hayo leo Septemba 06, 2024 wakati alipofungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.

Amesema kuwa ni muhimu kuifahamu vyema falsafa hiyo ya Rais Dkt. Samia Hassan na kuitekeleza kwa vitendo. “Nina imani kubwa kwamba uongozi wa juu wa Wizara umeielewa vizuri falsafa hiyo, na semina hii elekezi ni ushahidi tosha wa kuitekeleza kwa vitendo”.

“Falsafa hii inajikita katika masuala ya Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding).

Hivyo, nitoe wito kwa washiriki ambao ni Maafisa Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuendelea kushiriki na kuishi kikamilifu falsafa hii,”amesema.
View attachment 3089154
Ameongeza kuwa semina elekezi hiyo ni sehemu muhimu kwa maendeleo ya kitaaluma na kitaasisi kwa maafisa waandamizi wa vyombo vya usalama, na husaidia katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa kufuata viwango vya kitaaluma na kisheria.

“Semina elekezi hutoa fursa kwa maafisa waandamizi kujifunza mbinu na taratibu mpya katika utendaji wa majukumu yao. Hii inajumuisha teknolojia mpya, mbinu bora za ulinzi na usalama, na mbinu za kisasa za kupambana na uhalifu,”.

Kwa Upande wake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, engineer Hamad Masauni amemshukuru Rais Dk. Samia Hassan juu ya nia yake ya dhati kwa kufanya maboresho ya Wizara hiyo na vyombo vyake ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto pamoja na Taasisi ya NIDA.
1000628878-1024x535.jpg

“Maboresho haya yanahusisha upandishaji vyeo wa kihistoria wa Maafisa, Wakaguzi na Askari wapatao 50,971 pia kuongeza Bajeti ya Miradi ya Maendeleo kutoka mwaka 2021/22 hadi 2024/25 ni Shilingi 262.2 ambayo ni sawa na asilimia 954.59 ya ongezeko la Bajeti ya Miradi ya Maendeleo,”amesema.

Amesema kuwa Ongezeko hilo la bajeti limesaidia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa vitendea kazi ikiwemo magari, mitambo, boti, vifaa vya TEHAMA na kadhalika

Tekelezeni hizo 4R zenu ,siku ya uchaguzi mkuu saa Tisa mchana kama hamtakabidhi Dola.
Watu wanahamu na hasira ya kuwaondoa madarakani kupitia box la kura
 
MAONO YA KOMREDI KINGUNGE NGOMBALE MWIRU YANAVYOPUUZWA NA UTAWALA WA SASA

View: https://m.youtube.com/watch?v=bFQpjz1N4Tk

Kada mkongwe akiangalia hali ya kisiasa Tanzania kwa sasa anaiona ni ngumu, ni tete na vilevile ina utata pia tafrani ya sintofahamu ni kutokana na amri ya rais .... yeye rais si kijana lakini si mzee ila kitamaduni ukishakuwa rais basi wewe ni mzee... hivyo tunamuomba rais . ..tuzungumze naye ..... aitishe kikao .... komredi Kingunge Ngombale Mwiru .... akielezea suala kubwa ni kuepusha ....
 
Ni machozi ya aina gani yataisukuma serikali kukomesha utekaji nchini Tanzania? Je bunge la chama kimoja Dodoma ni lini litaibana serikali yake kuhusu utekaji ?

KIFO CHA KIONGOZI WA CHADEMA MZEE ALI KIBAO ,SIMANZI ZATAWALA

View: https://m.youtube.com/watch?v=aSyY52YpPOc
 
Back
Top Bottom