Labda mpango ulikuwepo ila yule mzee mwingine akaupotezea huo mpango kwa kudirect funds kwenye vipaumbele vyake vya miundombinu n.kinasikitisha kwakweli kwa nimujuavyo Mh. Kassim sikutarajia kama angekuja kujiingiza kwenye propaganda kama hizi
Hii ni ndoto na muda ushawatupa mkono. Kwenye majukwaa sijui watasema niniTotal ya ajira 42,000 usisahau kwenye sector zote
Tunawaangalia tu jamaa wanavyojichanganya.
Sasa tukija kulima huko kwenu, watoto wako watafundishwa na nani?daaa kweli Maisha magumu duuu. kulikoni kumnanga majaliwa wa wtu wanazengo njooni huku choma cha nkola tulime pamba na mahindi tutatoka tuu………….
Katika hili wameshakwama ukizingatia muda uliobaki ni mchache kuweza kutekeleza ajira 42,000. Hapa hamna jinsi tukubaliane tu kwamba tulihaidiwa ahadi hewaTotal ya ajira 42,000 usisahau kwenye sector zote
Tunawaangalia tu jamaa wanavyojichanganya.
nyie walimu sijui mna fail wapi? kwanza nyie ndiyo jeshi kubwa kabisa hapa Tz, lakini kama ajira zimekataa si mfikirie nje ya 'box' la kuajiriwa na majaliwa ili Maisha yasonge mbele, yaani frustration zenu mnataka mumshushie majaliwa? wakati mnajua kabisa 'jiwe' ndiyo mwenye maamuzi yoote?, yaani mmekosa plan b, c. d etc. za Maisha, binafsi nakosa Amani kabisa nikiona walimu wanalalama bila kuwa na mpango mkakati wa kutatua changamoto zao…...Sasa tukija kulima huko kwenu, watoto wako watafundishwa na nani?
Au unataka waendelee kuwa wajinga(sio tusi) kama wewe.
Mmm!Labda mpango ulikuwepo ila yule mzee mwingine akaupotezea huo mpango kwa kudirect funds kwenye vipaumbele vyake vya miundombinu n.k
Hapa hatumnangi tunamkumbushia ahadi yake aliyotuhaidi watanzania mwaka jana bungeni kuhusu ajira 16,000. Kumkumbusha siyo kumnanga..Elewadaaa kweli Maisha magumu duuu. kulikoni kumnanga majaliwa wa wtu wanazengo njooni huku choma cha nkola tulime pamba na mahindi tutatoka tuu………….
Pia magufuri aliahidi ajira 1000 za madaktari,ila wamepunguzwa mpaka 300 ndo walioripoti vituoniKwako PM, majaliwa Kassim Majaliwa
Mwaka jana ukiwa bungeni ulitoa ahadi ya kuajiri walimu 16,000 mwaka wa fedha 2019/2020.
Mpaka sasa hakuna kilichofanyika na bunge karibuni linavunjwa mnarudi majimboni kujipanga na uchaguzi mkuu.
Mh. Kassim kama unavyojua UCHAGUZI ni mchezo wa pata potea unaweza kurudi ama usirudi mjengoni. Je unawaachaje vijana na ahadi yako ya ajira 16,000?
Ajira 16,000 ni ahadi hewa?
Mh. Kassim wewe ni kiongozi wa juu serikalini tena ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa warithi wa Rais magufuri baada ya kumaliza muda wake. Hivyo hutakiwi kujiingiza kwenye propaganda za kuwalaghai vijana kwa sababu Unajishushia hadhi yako na kupoteza uaminifu kwa watanzania. Mambo kama hayo unapaswa kuwaachia wasaidizi wako wa chini siyo wewe Mh. Kassim(Prime Minister)
Mh. kassim Kama ile ahadi uliitoa kwa bahati mbaya, basi busara ikuongoze ujitokeze hadharani uwaombe msamaha watanzania kwa ahadi yako ya uongo uliyowahaidi.
Watanzania ni waungwana naamini ukiwaomba radhi nao watakusamehe.
Usijiamini kupita kiasiEti asirudi mjengoni,pole sana kwa taarifa yako huyu ndiye rais wetu wa 2025
Sent using Jamii Forums mobile app