Waziri Mkuu Majaliwa toka hadharani uwaombe radhi watanzania

Waziri Mkuu Majaliwa toka hadharani uwaombe radhi watanzania

Unapouliza waTanzania ni watu wa aina gani, huyu hapa ni sampuli sahihi ya waTanzania walio wengi.
Mh. Kassim wewe ni kiongozi wa juu serikalini tena ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa warithi wa Rais magufuri baada ya kumaliza muda wake. Hivyo hutakiwi kujiingiza kwenye propaganda za kuwalaghai vijana kwa sababu Unajishushia hadhi yako na kupoteza uaminifu kwa watanzania. Mambo kama hayo unapaswa kuwaachia wasaidizi wako wa chini siyo wewe Mh. Kassim(Prime Minister)

Na ndio maana tutaendelea kukwama.
 
Unapouliza waTanzania ni watu wa aina gani, huyu hapa ni sampuli sahihi ya waTanzania walio wengi.


Na ndio maana tutaendelea kukwama.
Kama kuna sehemu umeona makosa au hujaelewa, Omba ufafanuzi au Kosoa kistaarab ili makosa yarekebishwe Siyo kuandika mipasho
 
Pia magufuri aliahidi ajira 1000 za madaktari,ila wamepunguzwa mpaka 300 ndo walioripoti vituoni
Hizo zimetoka kama zilivyo. 600+ wameajiriwa kupitia tamisemi na 300+ wameajiriwa kupitia wizara ya afya
 
Viongozi wetu kitu kinaitwa integrity “consistence in words and actions” kimesha washinda muda mrefu Ndio maana anaongea leo hili kesho anafanya lile hili alilosema kwa mdomo wake hana habari
 
Back
Top Bottom