OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wenyewe tumechoka kutumia tochi vijijini bora watuwekee taa.View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
View attachment 2117287

Ww kwanza umetokea kijiji cha wapi hadi hutaki taa barabarani? Unaimba nyimbo mbovu ya mpinzani mwenye kupinga kila hatua ya serikali....View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Kijijini kukiwekwa taa kuna kosa gani?
Taa ni lazima popote,barabara kuu zote zinapita kwenye vijiji,mbali mbali.Taa zitakapokuwa zipo kwenye barabara kuu za Vijijini,wananchi watafanya biashara mpaka usiku,gari zinazopita usiku,watanunua bidhaa zao,uchumi wa vijiji utainuka.View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Miradi mingi inayopigiwa debe?mfano ya ujenzi etc ujue yana 10%Hii nchi bhana!
Umesema kweli tupu,barabara kuu,zinapita katika vijiji,wananchi wakipata taa za barabarani,watafanya biashara,kwa gari zinazopita usiku,gari ndogo,malori,mabasi(yanayopita kabla ya saa 4 usiku),daladala,bodaboda,uchumi wa wananchi utainuka,uchumi wa vijiji,utainuka,pato la Taifa litaongezeka.Ww kwanza umetokea kijiji cha wapi hadi hutaki taa barabarani? Unaimba nyimbo mbovu ya mpinzani mwenye kupinga kila hatua ya serikali....
Acha uchamba upo dar unakula raha zako unatuharibia sisi wa vijijini?
Kvema ijini kukiwekwa taa kuna kosa gani?
Ni vizuri ukajielimisha kwanza juu ya historia na maana ya ustaarabu na maendeleo jumuishi. Kwani kuweke taa za barabari ni kizuizi au ni kichocheo cha shughuli nyingine za maendeleo vijijini ?View attachment 2117287