Mnatumia tochi kumulika (kuongeza) magari barabaranni?Wenyewe tumechoka kutumia tochi vijijini bora watuwekee taa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatumia tochi kumulika (kuongeza) magari barabaranni?Wenyewe tumechoka kutumia tochi vijijini bora watuwekee taa.
Ji hivi ambavyo watoto wa shule wanakaa chini hawana madawati, kwenye madarasa yasiyo na sakafu au chini ya miti, kipaumbele ni kuweka taa barabarani?Taa ni lazima popote,barabara kuu zote zinapita kwenye vijiji,mbali mbali.Taa zitakapokuwa zipo kwenye barabara kuu za Vijijini,wananchi watafanya biashara mpaka usiku,gari zinazopita usiku,watanunua bidhaa zao,uchumi wa vijiji utainuka.
View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Sisi tunahitaji mkuu ni vibaka na vibakuzi pekee ndo watakataa mradi kama huoView attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Yaani hawajui wanacho kihitaji wao ni lawama tuuu!!Watanzania hawana jema
Unasahau kwamba hizo taa ni sehemu ya kuimarisha ulinzi wa eneo. Mnajua kulaumu tu
Mnajua kulalamika tu
Mkuu unaambiwa TANESCO ndilo shirika pekee la umma linaloingizia serikali matrilioni ya fedha kila mwezi. Huwezi kuikataa fursa hiyo ya kuwekewa taa za barabarani.View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Dili la mtu hilo kama ile minyororo na mabomba ya darView attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Vijiji vingi vya mkoa wa Rukwa vina taa angalau pale centers unless hujui umuhimu wa hizo taa.View attachment 2117287
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
StupidNi kosa, kijiji giza ni halali yake.
Stupid
Kwa hiyo taa ndio miundombinu ya kisasa ya kufanya kijiji kuwa Mji? StupidUkipeleka miundombinu ya kisasa kijijini basi kijiji hakitaitwa tena kijiji bali mji, sasa wewe ndiye Stupid kwani unataka kijiji kiendelee kuwa kijiji ilhali unakiondolea sifa zinazofanya kiitwe kijiji !!!!.
Hao mapopoma wamekubaliana kupinga kila kitu.Vijiji vingi vya mkoa wa Rukwa vina taa angalau pale centers unless hujui umuhimu wa hizo taa.
Punguzeni ushamba taa sio anasa na umeme sio kwa wenye hela nyingi.
Wengine dili lao uchawi na kuwanga.Sasa taa zikipelekwa vijijini dili za uchawi na kuwanga zitaondoka.Dili la mtu hilo kama ile minyororo na mabomba ya dar