Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20220212-161756_Chrome.jpg

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
 
View attachment 2117287

Wenyewe tumechoka kutumia tochi vijijini bora watuwekee taa.
 
zikija taa na umeme inawezekana utaletwa Boss,Serikali ya CCM haiwezi kuleta vyote hivo kwa pamoja, Ndalichako jimboni kwake wanakunywa maji yana rangi ya chai ya maziwa
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.

"Mbuzi atakula sawa na urefu wa kamba iliyomkaba shingoni mwake"
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Ww kwanza umetokea kijiji cha wapi hadi hutaki taa barabarani? Unaimba nyimbo mbovu ya mpinzani mwenye kupinga kila hatua ya serikali....
Acha uchamba upo dar unakula raha zako unatuharibia sisi wa vijijini?
 
Taa ni lazima popote,barabara kuu zote zinapita kwenye vijiji,mbali mbali.Taa zitakapokuwa zipo kwenye barabara kuu za Vijijini,wananchi watafanya biashara mpaka usiku,gari zinazopita usiku,watanunua bidhaa zao,uchumi wa vijiji utainuka.
 
Ww kwanza umetokea kijiji cha wapi hadi hutaki taa barabarani? Unaimba nyimbo mbovu ya mpinzani mwenye kupinga kila hatua ya serikali....
Acha uchamba upo dar unakula raha zako unatuharibia sisi wa vijijini?
Umesema kweli tupu,barabara kuu,zinapita katika vijiji,wananchi wakipata taa za barabarani,watafanya biashara,kwa gari zinazopita usiku,gari ndogo,malori,mabasi(yanayopita kabla ya saa 4 usiku),daladala,bodaboda,uchumi wa wananchi utainuka,uchumi wa vijiji,utainuka,pato la Taifa litaongezeka.
 
Barabara kuu,zinapita Vijijini,zikiwa na Taa,zitainua uchumi wa wananchi Vijijini,kwa kufanya biashara mpaka usiku,uchumi wa vijiji utainuka,uchumi wa Taifa utainuka.Magari yanayopita usiku,yatanunua bidhaa mbali mbali,matunda,vyakula,nyama,kuku nk.
 
Kama watajenga barabara za lami hadi vijijini, kuna shida gani kuweka taa, haswa center ndogo ndogo zinakopita barabara
Au huko giza ruksa, hututegemei vijiji kukua kimaendeleo ?
 
View attachment 2117287

Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.

Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa uhakika. Tunahitaji pembejeo za bei nafuu, Tunataka mabwawa tulime kwa kumwagilia. Tunataka maghala na masoko ya mazao. Leo tunaambiwa tuletewe taa za barabarani.
Ni vizuri ukajielimisha kwanza juu ya historia na maana ya ustaarabu na maendeleo jumuishi. Kwani kuweke taa za barabari ni kizuizi au ni kichocheo cha shughuli nyingine za maendeleo vijijini ?
 
Back
Top Bottom